Contact Us

Asante kwa kuwaza kuwasiliana na mimi karibu sana kwenye website ya wauzaji.

Kwanza kabisa napenda kuwa na urafiki na mtu kama wewe kwasababu mpaka umefika hapa inaonekana unapenda kutumia teknolojia na pia unapenda sana mambo ya biashara.

Sasa mimi nakuahidi kama ikitokea sasa hivi umenitumia email yako basi mimi nitajitahidi niweze kuijibu ndani ya dakika 59. unaweza kunitumia email [email protected].

Kama ukituma email nitajibu kwa haraka zaidi ila kama hauwezi wala usijali wewe cha kufanya nakuomba ujaze form hii ili uweze kuwasiliana na mimi.

Wauzaji
Logo
Enable registration in settings - general