Kilimo cha Tanzania

Utangulizi wa Kilimo Cha Alizeti Tanzania
Kilimo cha Zao la alizeti Tanzania kimechangia kwa kiasi kikubwa kuwainua wakulima kiuchumi na kuongeza pato la taifa Pia Mbegu za zao la alizeti hutengeneza mafuta ambayo yanatumika kupikia. Makapi yanayotokana na mbegu za alizeti ni chakula bora kwa mifugo. Kwa mujibu wa takwimu kutoka kitengo cha mbegu za ...

Kilimo Cha Mkonge Tanzania
Kilimo cha Mkonge ni moja kati Kilimo cha biashara Tanzania Asili ya zao hili ni Mexico na baadae likasambaa katika nchi nyingine nyingi ikiwemo Tanzania Na kwa mara ya kwanza lilitambushwa katika nchi za kitropikia na subtropikia India, Tanzania, Brazil, Kenya south Africa, Angola, Mozambique, Morocco, Uganda, ...

Kilimo Cha Nyanya Na Soko La Nyanya Tanzania
Kilimo cha Nyanya Tanzania Hufanywa kwa kiasi kikubwa katika maeneo mengi ya tanzania Pia Nyanya ni miongoni mwa mazao jamii ya mboga mboga. Tunda la nyanya hutumika kama kiungo muhimu katika mapishi na utengenezaji wa kachumbari na pia kama tunda. Faida za Kilimo cha Nyanya Nyanya ni chanzo kizuri cha ...

Utangulizi wa Kilimo Cha Parachichi Tanzania
Kilimo cha parachichi kinaendelea kukua sana Tanzania Pia kilimo hichi hakihitaji fedha nyingi na bali ni subira ya ukuaji wa matunda ya Parachichi. Tanzania kilimo hichi kimeanza kushika kasi zaidi mwaka 2015 ambapo baadhi ya watu walijitokeza na kuelezea mafanikio waliyopata kutokana na kilimo cha parachichi. ...

Utangulizi wa Kilimo Cha Matikiti Maji Tanzania
Kilimo cha tikiti maji kimekuwa kikijizolea umaarufu mkubwa hapa nchini na Wakulima wengi zaidi wamekuwa wakihamia kwenye kilimo hiki cha matikiti miaka ya hivi karibuni. Katika mijadala mbalimbali ya fursa za kilimo, kilimo cha matikiti ni nadra sana kukosekana. Hapa Tanzania soko la tikiti maji ni zuri ...

Mwanzo wa Kilimo Cha Viazi Vitamu Tanzania
Viazi vitamu ni moja kati ya mazao makuu ya mizizi Kutokana na uwezo wake wa kuvumilia ukame, zao hili la viazi vitamu ni moja kati ya mazao ya kinga ya njaa Hapa nchini zao hili la viazi vitamu hulimwa zaidi katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Dodoma, Morogoro, Kagera, Arusha na Ruvuma. Kuna aina mbalimbali ...

Utangulizi wa Kilimo Cha Korosho Tanzania
Korosho ni mbegu inayokua kwenye mti wa mkorosho Pia Korosho yenyewe inakua pamoja na tunda linaloitwa bibo na mbegu huonekana nje. Kati ya mwaka 1560 na 1565 mti huu ulipelekwa hadi Goa, India na mabaharia wa Ureno kutoka hapo ulienea kusini mashariki kwa Asia na mwishoni kufika barani Afrika. Vitu vya Ukweli ...

Utangulizi wa Kilimo Cha Mihogo Tanzania
Kilimo cha Mihogo Tanzania ni moja ya kilimo ambacho kinalimwa sana tanzania hasa kutokana na tabia yake ya kuvumilia sana hali ya ukame. Tanzania wakulima wengi hasa wadogo hupendelea kuchanganya zao la mihogo pamoja na mazao mengine kama maharage, kunde, mbaazi, njugu mawe n.k. Mambo ya kuzingatia katika ...

Kilimo Cha Umwagiliaji Tanzania
Katika kilimo cha umwagiliaji Tanzania Wakulima wengi hawana uelewa kuhusu kilimo cha umwagiliaji hivyo mvua inakuwa chanzo pekee cha wao kupata maji ya uhakika. Mbali na kutokuwa na elimu ya kutosha kuhusu aina hiyo ya kilimo, wakulima wengi pia huchagua kuamini kuwa kilimo cha umwagiliaji hufanywa na watu wenye ...

Utangulizi wa Kilimo Cha Miti Tanzania
Kilimo cha miti Tanzania kimeendelea kuja kwa kasi hapa nchini Licha ya kwamba uwekezaji katika aina hii ya kilimo huchukua muda mrefu kuona faida yake na inaelezwa kuwa utajiri wake ni mkubwa na watanzania wengi zaidi wanatakiwa kuchangamkia kilimo hiki cha miti. Kuanzisha Shamba La Kilimo cha Miti ...

Utangulizi wa Kilimo Cha Viazi Vitamu Tanzania
Viazi vitamu ni moja kati ya mazao makuu ya mizizi Tanzania. Kutokana na uwezo wake wa kuvumilia ukame pia zao hili ni moja kati ya mazao ya kinga ya njaa. Hapa Tanzania zao la viazi vitamu hulimwa zaidi katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Dodoma, Morogoro, Kagera, Arusha na Ruvuma. Kuna aina mbalimbali za ...