Biashara za Tanzania
Jinsi Ya Kuchagua Jina Zuri La Biashara Tanzania

Jinsi Ya Kuchagua Jina Zuri La Biashara Tanzania

Jinsi ya kuchagua jina la biashara tanzania na kuhakikisha jina la biashara yako linaendana moja kwa moja na biashara unayoifanya ukiwa tanzania MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA KUCHAGUA JINA LA BIASHARA Usichukue Maoni Ya Kila Mtu Kwenye kuchagua jina la biashara Kila mtu huwa na mawazo yake hivyo mfanyabiashara ...

S0MA ZAIDI
Biashara Ndogo Ndogo Zenye Mtaji Kidogo Tanzania

Biashara Ndogo Ndogo Zenye Mtaji Kidogo Tanzania

Biashara ndogondogo zenye faida kubwa tanzania na ambazo zinalipa na pia zinazohitaji mtaji kidogo ili kuanzisha pamoja na kuiendesha ukiwa tanzania 1. BIASHARA YA JUICE ZA MATUNDA Biashara ya Juice ya Matunda ya elfu kumi inaweza toa had lita kumi za juice ambapo lita moja ni sawa na glass tano au nne za juice ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kuandaa Tangazo Zuri La Biashara

Jinsi Ya Kuandaa Tangazo Zuri La Biashara

Tangazo ni ujumbe wowote wenye kufanya kazi ya kutangaza kitu au huduma fulani. Kutangaza ni kitendo cha kuwafahamisha wateja kwa kuwawezesha kufahamu kuhusu huduma au bidhaa fulani unayoitoa katika biashara yako. Jinsi ya kuandaa Tangazo La biashara kwa urahisi. Hizi ni hatua sita pale unapotaka kuandaa ...

S0MA ZAIDI
Biashara Ya Upigaji wa Picha Tanzania

Biashara Ya Upigaji wa Picha Tanzania

Biashara ya upigaji wa picha ni nzuri na pia Kama una vifaa vya kisasa vya kupiga picha basi unaweza kuanzisha biashara ya kupiga picha. unaweza kupiga picha matukio yaliyozoeleka kama picha za harusi, wahitimu wa chuo pamoja na picha za mikutano. JINSI YA KUPATA PESA KUPITIA UPIGAJI WA PICHA Kupiga Picha ...

S0MA ZAIDI
Mambo Ya Kuzingatia Kabla Ya Kuanzisha Biashara Tanzania

Mambo Ya Kuzingatia Kabla Ya Kuanzisha Biashara Tanzania

Mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kuanza kufanya biashara tanzania ili kupelekea kufanya biashara na kupata mafanikio katika biashara yako MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA BIASHARA Tambua biashara gani inakufaa. Kabla ya kufanya maamuzi yoyote ya biashara fanya utafiti wa biashara gani inakufaa. Tumia ...

S0MA ZAIDI
Biashara NdogoNdogo Zenye Faida Kubwa Tanzania

Biashara NdogoNdogo Zenye Faida Kubwa Tanzania

BIASHARA NDOGONDOGO ZENYE FAIDA KUBWA Biashara Ya Juice na Matunda Wauzaji wa matunda au juice za matunda moja kwa moja hupata wateja wengi kwanza unatakiwa kuhakikisha maandalizi ya juice au matunda yako ni nadhifu na yana mhamasisha mnunuaji kununua. Biashara Ya Supu Biashara ya Kuandaa supu nyumbani ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kufanikiwa Kwenye Biashara za Tanzania

Jinsi Ya Kufanikiwa Kwenye Biashara za Tanzania

Jinsi ya kufanikiwa katika biashara? Jipange kibiashara kufanikiwa katika biashara unahitaji kujipanga Kujipanga kutakusaidia kukamilisha mipango yako na kukaa kwenye malengo ya biashara yako. Na njia nzuri ya kufanya hilo ni kuwa na orodha ya mpangilio wa shughuli zako Hii itakuwezesha kufanya vitu vyako ...

S0MA ZAIDI
Faida Ya Biashara Ya Juice Ya Miwa Tanzania

Faida Ya Biashara Ya Juice Ya Miwa Tanzania

Biashara ya kutengeneza juice ya miwa ina faida hivyo imekuwa maarufu sana katika mikoa mbalimbali hapa Tanzania. Hii inatokana na kinywaji cha juice ya miwa kuwa na faida nyingi katika mwili wa binadamu. FAIDA YA JUICE YA MIWA MWILINI NA KWENYE BIASHARA Juice ya miwa inasaidia ni kusafisha mkojo, figo na ...

S0MA ZAIDI
Wauzaji
Logo
Enable registration in settings - general