Kupanga malengo kwenye maisha ni jambo muhimu na kama ukiamua kuanza unaweza kupanga malengo leo na kuhakikisha kuwa kesho inakuwa nzuri.
1. Jitahidi Kupanga Malengo Kuhusu kesho
Kuwa na mpango wa kesho leo kutakuwezesha kufanya mambo kwa kutegemea mwongozo na mpangilio uliopo badala ya kuamka na kufanya ...
Kujiwekea malengo maishani kuna umuhimu mkubwa kwani kupanga malengo hutufanya tujikite sawasawa kwenye kila tunachokifanya ili kifanikiwe.
Kabla hujakamilisha chochote maishani, ni lazima ufahamu unahitaji nini. Ni lazima ukae chini utafakari kama kile unachokifanya kina thamani kwako ikiwa hakina thamani, basi ...
Watu wengi Tanzania wanapata pesa lakini si wote wanaoweza kuzitumia vyema. Wengi hujikuta wakizitumia kwenye mambo na mipango ambayo mwishoni haiwaletei tija katika maisha yao.
1. Weka bajeti kwenye maisha
Ni rahisi kusikia watu wakilalamikia bajeti za serekali na kuzikosoa lakini wao wenyewe hawana bajeti zao ...
Mara nyingi watu hawa huwa na mfuatano au mpangilio mzuri na unaoeleweka wa kazi au maamuzi yao. Kwa kifupi watu hawa hufanikiwa sana na ndiyo huitwa watu waliojipanga.
1. Watu Waliofanikiwa Huwa Wanaandika Kila Kitu
Kuandika vitu ni njia mojawapo ya kutekeleza mambo kwa mpangilio. Watu waliojipanga huandika ...
Kufahamu jinsi ya kuwa na furaha kwenye maisha ni jambo zuri kwasababu siku zote furaha itakusaidia sana kuondokana na mawazo na kuyaona maisha ni mazuri na yenye amani.
1. Jitahidi Sana Kusamehe
Watu wengi hukosa furaha kutokana na kubeba uchungu na maumivu yaliyotokana na watu waliowakosea. Ikiwa unataka ...
Kusamehe ni kuamua kutomchukulia mtu hatua na kuondoa kinyongo moyoni mwako kutokana na jambo baya ulilofanyiwa na mtu huyo.
Kusamehe kunasema hutakiwi kusikia neno “nisamehe” ndipo uendelee na maisha yako. Kusamehe kumewekwa na ni kwa manufaa zaidi kwa yule aliyekosewa.
1. Kusamehe Hukuweka Huru
...
Jinsi ya kuchagua mchumba ni swala nyeti linalohitaji maamuzi yanayohusisha hekima, utulivu, kumwomba Mungu pamoja na uchunguzi wa kutosha.
Maisha ya watu wengi yamekuwa na matatizo makubwa kutokana na kufanya makosa katika kuchagua mtu wa kuoa au kuolewa naye.
Kwa hakika hakuna mwenzi mkamilifu, lakini kuna ...
Unywaji wa pombe husababisha matatizo makuwa ya kiafya kwa watu wengi Tanzania kama vile magonjwa ya moyo, ini pamoja na majeraha yatokanayo na ajali zitokanazo na ulevi.
Ni dhahiri kuwa vinywaji halisi vilivyotengenezwa kwa matunda bila kilevi ni bora zaidi kwa afya yako kuliko vile vyenye kilevi.
1. Pombe ...
Kukosa uvumilivu na subira kwenye maisha kumewafanya wengi kushindwa kufanya maamuzi sahihi na kujikuta wakitumbukia kwenye shida zaidi.
Haijalishi unapitia magumu mengi kiasi gani, kuvumilia na kuwa na subira kuna faida nyingi na ni lazima.
1. Uvumilivu Husaidia Kufanya Maamuzi Sahihi
Ndani ya uvumilivu ...
Mambo yanayo zuia mafanikio kwenye maisha Tanzania ni mengi sana na ukiwachunguza sana watu waliofanikiwa utagundua kuwa kuna tabia au mambo kadhaa yanayoshabihiana kati yao.
Pia ukiwachunguza watu walioshindwa au ambao hawajafanikiwa, utabaini pia kuna tabia au mambo kadhaa yanayofanana kati yao.
1. Masikini ...
Kutumia muda vizuri ni muhimu sana kwenye maisha Tanzania hivyo ni vyema kufahamu namna bora ya kutumia muda kwa njia yenye kuleta mafanikio.
1. Jitahidi kupanga siku yako vyema
Usikimbilie kuanza majuku yako ya siku bila kukaa chini na kutumia dakika chache za kutafakari mambo kadhaa.
Tafakari ni jambo gani ...
Tabia mbaya zimekuwa zikiwakabili na kuwatesa watu wengi Tanzania na Haipingiki kuwa tabia mbaya huwazuia watu wengi kufikia malengo yao kwenye maisha.
Hata hivyo, waathiriwa wa tabia hizi wengi hutamani kuziacha, lakini wanashindwa kufahamu waanzie wapi na watumie njia gani ili kuacha tabia hizo.
1. Jitahidi ...
Kiwanja ni rasilimali muhimu Tanzania ambayo kila mtu anaihitaji kwa namna moja au nyingine na Watu wengi hununua ardhi kwa ajili ya kufanyia shughuli mbalimbali kama vile ujenzi na kilimo.
Pamoja na umuhimu huu mkubwa wa ardhi bado watu wengi wanakumbana na changamoto mbalimbali katika maswala yanayohusu kununua ...
Wivu kwenye maisha hauwaathiri wale walio nao pekee, ni vyema nawe ukafahamu tabia za watu wenye wivu ili uwaepuke wasije wakakuathiri kwa kukurudisha nyuma katika hatua zako za maendeleo.
1. Huwa Hawapendi Mafanikio Ya Wengine
Moja kati ya tabia kubwa ya watu wenye wivu ni kutostaajabishwa na mafanikio ya ...
Watu waliofanikiwa katika maisha huweza kufanya maamuzi ambayo yanazingatia matokeo ya kuapata mafanikio mbeleni kupitia maamuzi hayo.
Ni dhahiri kuwa watu waliofanikiwa ni tofauti na watu wengine kutokana na yale wanayoyafanya au kutofanya.
1. Watu Waliofanikiwa Hawapuuzi Uwekaji wa Akiba
Katika maisha ya ...
Kujifunza kingereza kunaweza kuwa ni kugumu lakini inawezekana na Kusoma Kiingereza inawezekana lakini kuna mambo kadhaa unatakiwa kuyafahamu na kuyafanya kwa uhakika.
1. Jitahidi Kupenda Kingereza
Ili uweze kufanya au kujifunza kitu chochote ni lazima kwanza ukipende. Ikiwa unataka kufahamu Kiingereza kwa muda ...
Kusafiri kuna faida nyingi unazopaswa kuzifahamu Swala la kusafiri au kutembelea maeneo mbalimbali halijazoeleka sana kwetu waafrika kama ilivyo kwa wenzetu wazungu.
Kusafiri siyo lazima kwenda nchi nyingine, bali hata safari za ndani ya nchi au za ndani ya eneo lako zina maana kubwa.
1. Kusafiri Kunasaidia ...
Kuna mambo mengi umekuwa ukijiuliza ni kwa namna gani utajikwamua katika hali ngumu za kimaisha ila kuna njia mbalimbali ambazo unaweza kuzitumia na kutoka kimaisha.
Zifuatazo ni mbinu ambazo unaweza kuzitumia ili uweze kufanikiwa katika mambo yako.
1. Weka malengo ambayo yatakuwa mwongozo wako.
Siku zote ...