Televisheni imekuwa ni kifaa muhimu kwa ajili ya habari na burudani Tanzania hata hivyo television inaweza kuwa na madhara kadha wa kadha kwako ikiwa haitotawaliwa vyema.
1. Kuangalia Tv Hupoteza Muda
Unapokaa na kuangalia televisheni ni wazi kuwa unatumia muda mwingi na wa muhimu sana. Hii ni kutokana na ...
Kuweka akiba ni kanuni mojawapo ya matumizi mazuri ya pesa. Hata hivyo kutokana na watu wengi kutokuwa na matumizi mazuri ya pesa, bado wengi wanashindwa kuweka akiba.
Baadhi ya watu hufikiri kuwa ili uweze kuweka akiba ni lazima uwe na pesa nyingi, lakini ukweli ni kuwa kuweka akiba ni maamuzi tu na siyo kuwa na ...
Ukweli ni kuwa kufundisha na kuwaelewesha watu wengine kwenye maisha ni swala lenye manufaa mengi ambayo watu wasiofanya hivyo wanayakosa.
1. Kuwasaidia Watu Huongeza Maarifa
Kufundisha wengine ni njia bora ya kuongeza maarifa yako. Kwanza kabisa utahitajika kujiandaa kwa kusoma na kujifunza mambo mbalimbali ...
Kutokana na hali ngumu ya kiuchumi au changamoto za maisha watu wengi hutekwa na mambo mbalimbali hasa yale yanayohusu kupata pesa za haraka.
Nilipofanya utafiti mdogo nilibaini kuwa “njia za kupata pesa kwa haraka” pamoja na “njia za kupata utajiri kwa haraka” ni moja kati ya vitu vinavyotafutwa sana na watu ...
Kumeshuhudiwa watu wakiishi maisha ya taabu na mahangaiko makubwa baada ya kustaafu na Hili linatokana na kutokujiandaa vyema kabla ya kustaafu.
1. Jitahidi Kujiandaa Kisaikolojia
Kustaafu ni kipindi tofauti sana na kipindi ulichokuwa kwenye ajira. Kipindi hiki utakutana na mtindo mpya wamaisha tofauti na ule ...
Vitu vya kukazana na kujitahidi kuviacha kabisa ili uweze kufanikiwa kwenye maisha Tanzania ni muhimu kuvifahamu mapema.
1. Jitahidi Kuacha Kutoa Visingizio
Acha kulaumu na kulalamikia watu wengine kwa kutokupata kile unachokihitaji. Acha kusingizia serekali na jamii kuwa ndiyo kikwazo cha wewe kufikia ...
Jinsi ya kuepukana na hofu kwenye maisha ni muhimu kufahamu kwasababu hofu sio nzuri na ina madhara makubwa sana kwenye maisha yetu ya kila siku.
1. Jitahidi Kupunguza imani Potofu
Wakati mwingine watu wanapata hofu kutokana na imani au fikra potofu pekee. Kwa mfano unaogopa kinyonga kwa sababu umesikia kuwa ...
Mambo mapya ya kuzingatia na ambayo usiyoyajua kuhusiana na pesa pamoja na jinsi ya kutunza pesa kwenye maisha ya kila siku Tanzania
Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara na Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake.
Usitumie pesa ambayo bado ...
Kusikiliza muziki ni jambo zuri sana maishani na watu wengi Tanzania wanapenda kusikiliza muziki na Tafiti zinabainisha kuwa kusikiliza mziki kuna manufaa mengi kwa ajili ya afya ya mwili na akili.
1. Mziki Hutufanya Tuwe na Furaha
William James alsisema “Siimbi kwa sababu ninafuraha, bali nafurahi kwa kuwa ...
Kuna baadhi ya watu inabidi kuwaepuka kwenye maisha Tanzania kwasababu wanaweza kukurudisha nyuma kimaendeleo na uchumi wako ukaporomoka.
1. Jitahidi Kuwaepuka Watu Wanaohoji Kila Kitu
Watu wanaohoji kila kitu hutafuta njia ya kupinga na kukosoa kila unachokifanya. Utatumia muda mwingi kuwaelewesha lakini ...
Jinsi Ya kufanikiwa mapema kwenye maisha hapa Tanzania ni muhimu kufahamu ili uweze kufikia malengo ya mafanikio kwa haraka
1. Jitahidi Kusoma Vitabu
Kupitia vitabu unaweza kujifunza mambo mbali mbali kama vile:
Njia za kukabiliana na matatizo mbalimbali.Njia za kufanya mambo mbalimbali kwa ufanisi.Jinsi ya ...
Mambo ya kuzingatia kwenye ujenzi wa nyumba Tanzania ni muhimu kuyajua kwasababu Nyumba ni hitaji muhimu kwa watu wote.
Kila mmoja anatamani na ana ndoto za kununua au kujenga nyumba nzuri na ya kisasa. Ni kweli kuwa ujenzi wa nyumba unahitaji rasilimali nyingi hasa fedha.
Pamoja na gharama hizi za ujenzi wa ...
Kufahamu jinsi ya kuepuka madeni ni muhimu sana kwenye maisha kwasababu madeni siyo kitu kizuri hasa ikiwa hayatalipwa kwa wakati.
1. Jitahidi Kutengeneza na Bajeti
Utawasikia watu wakikosoa bajeti ya serekali lakini hawana bajeti zao binafsi. Bajeti binafsi ni muhimu kwani hukuwezesha kupanga juu ya mapato na ...
Watu wengi hufikiri kuwa mafanikio kwenye maisha ni jambo linalotokea kwa bahati lakini mafanikio ni matokeo ya tabia au mikakati inayofanywa mara kwa mara.
1. Jitahidi Kuwa na Mipango
Watu waliofanikiwa hawafanyi kazi bila mipango madhubuti. Watu hawa hupanga mipango mbalimbali wanayotakiwa kuitekeleza na ...
Ninapotaja Motivational Speakers wa Tanzania naamini unafahamu kuwa ni watu wanaowasaidia watu kuendeleza na kuwezesha maono au utoto wao wa ndani ili watu husika waweze kufanikiwa.
Mzungumzaji hamasa anaweza kuzungumzia mada yoyote ile kulingana na uzoefu wake. Wengi hutamani kuwa wazungumzaji hamasa lakini ...
Ni watu wachache sana Tanzania ndiyo wanaopenda na wanafahamu umuhimu wa kusoma vitabu. Watu wengi hasa waafrika hawapendi kusoma vitabu.
Kuna maarifa mengi yaliyofichwa kwenye vitabu hii ndiyo sababu watu wengi waliofanikiwa husoma au hata kuandika vitabu.
1. Kusoma Vitabu Huongezea Maarifa Mapya
...
Pombe ni kinywaji kinachotumiwa na watu wengi Tanzania pasipo hata kufahamu athari zake na Pombe ina athari mbalimbali kiafya na kisaikolojia.
Wengi baada ya kuathiriwa na pombe hutamani kujua jinsi ya kuachana na unywaji wa pombe lakini ni wachache tu ndiyo hufanikiwa katika hili.
1. Jitahidi Kuwaepuka Watu ...
Kuzungumza mbele ya watu kunaweza kuwa ni tatizo ikiwa hujiamini au hujajiandaa vyema Hata hivyo, mazoezi na mtazamo chanya vinaweza kukusaidia kuwa mzungumzaji bora mbele ya watu.
1. Jitahidi Kujiandaa na Kufanya Mazoezi
Watu wengi wamekuwa wakikumbwa na hofu, wasiwasi na hata kutokwa na jasho sana wanapokuwa ...
Faida za kukosea kwenye maisha ni muhimu kuzifahamu na unaweza kujifunza kutokana na makosa mbalimbali unayoyafanya kila mara maishani mwako.
1. Makosa Hutuonyesha Mambo Tusiyoyafahamu
Ni wazi kuwa makosa mengine hutokea kwa kufanya vitu au maamuzi tusiyoyafahamu vyema. Kwa njia ya makosa hayo tutaweza kufahamu ...
Kupunguza matumizi ya umeme Tanzania kunaweza kuokoa fedha nyingi ambazo zingepotea kwa kulipia gharama zisizo na sababu za matumizi ya umeme.
1. Jitahidi kuzima taa na vifaa usivyo vitumia
Mara nyingi umeme mwingi hupotea kutokana na kuacha vifaa mbalimbali vikiwa vimewashwa bila sababu. Si jambo la ...
Kwenye maisha yetu ni muhimu sana kusema Hapana na tunatakiwa kufanya maamuzi fulani ya kukataa na sio kukubaliana kila mipango au jambo.
1. Kusema Hapana Hukutenga na Mipango Mibaya
Siyo kila mpango unafaa kwenye maisha yako. Mipango mingine inaweza kuangamiza ndoto na malengo yako.
Kwa mfano mtu ...
Kila jambo tunaloliona kwenye ulimwengu wa leo lilianza kwanza kwenye fikra. hauwezi kufanikiwa ikiwa hautoona lile unalotaka kulifanya au kulifanikisha akilini mwako kwanza.
1. Amini Kuwa Kila Kitu Kinawezekana
Hakuna mtu yeyote anayeweza kuwa mshindi bila kuamini kwanza kuwa kila kitu kinawezekana. Ikiwa ...
Jinsi Ya Kupunguza Gharama Ya Ujenzi wa Nyumba Tanzania ni muhimu kwasababu watu wengi wamejikuta katika hali ngumu ya kifedha au hata kukwama katika ujenzi kutokana na kushindwa kuweka mikakati mizuri ya kupunguza gharama za ujenzi.
1. Jitahidi Kuchagua Kiwanja Bora
Jinsi ya kuchagua kiwanja sahihi wa kiwanja ...
Ratiba siyo muhimu tu kwa ajili ya taasisi fulani pekee ni muhimu pia kwa mtu binafsi. Watu wengi hushindwa kutumia muda wao vyema kutokana na kutokuwa na ratiba nzuri inayoeleweka.
1. Ratiba insaidia Kutumia Muda Vyema
Moja kati ya manufaa makubwa ya kuwa na ratiba ni kuweza kutumia muda vyema. Unapokuwa na ...