Kilimo cha Tanzania
Kilimo cha mazao Tanzania kilimo cha nyanya, maharagwe, mpunga, mahindi, hoho, alizeti, vitunguu, tikiti, karanga, bamia, na magonjwa na tiba zake
Kilimo Bora Cha Soya Tanzania

Kilimo Bora Cha Soya Tanzania

Kilimo cha Maharage ya Soya, Soya ni miongoni mwa mazao jamii ya mikunde kama maharage, kunde na mbaazi. zao hili ni muhimu sana kwa afya kutokana na kiwango kikubwa cha protini kilichonacho. Kiwango cha protini kwenye soya ni kuanzia asilimia 35% hadi 40% na mafuta 15% hadi 22% vilevile zao hili lina ...

S0MA ZAIDI
Kilimo Cha Migomba Tanzania

Kilimo Cha Migomba Tanzania

Tanzania kilimo cha migomba kimekuwepo Kwa miaka mingi na Kilimo hiki cha migomba ni maarufu sana. Kwa sababu zao la ndizi limekuwa likitumika kama chakula kikuu kwa baadhi ya mikoa kama vile Kagera, Kilimanjaro na Mbeya na hivyo kulifanya muhimu. Zao la ndizi linaweza kuwa moja kati ya mazao ya biashara iwapo ...

S0MA ZAIDI
Kilimo Cha Mchicha Tanzania

Kilimo Cha Mchicha Tanzania

Kilimo cha mchicha ni kizuri kwa sababu huwa hakichukui muda mwingi katika upandaji hadi uvunaji pia kilimo cha mchicha kina faida sana pale mtu anapoamua kuwekeza katika kilimo hiki. Hal Ya Hewa Kwenye Kilimo cha Mchicha Mchicha unahitaji maji ya kutosha katika kipindi chake chote cha ukuaji hadi kuvuna. ...

S0MA ZAIDI
Kilimo Bora Cha Mkonge Tanzania

Kilimo Bora Cha Mkonge Tanzania

Kilimo cha Mkonge ni moja kati Kilimo cha biashara Tanzania Asili ya zao hili ni Mexico na baadae likasambaa katika nchi nyingine nyingi ikiwemo Tanzania Na kwa mara ya kwanza lilitambushwa katika nchi za kitropikia na subtropikia India, Tanzania, Brazil, Kenya south Africa, Angola, Mozambique, ...

S0MA ZAIDI
Kilimo Cha Maboga Tanzania

Kilimo Cha Maboga Tanzania

Kilimo cha Maboga ni kilimo maarafu kwa Tanzania pia maboga ni zao ambalo mmea wake unakuwa kwa kutambaa na ni la mviringo na rangi yake ni ya njano inayoelekea kwenye rangi ya chungwa au rangi ya kijani. Asili Ya Kilimo cha Maboga Asili ya maboga ni Amerika kaskazini, maboga yamekuwa yakipandwa kwaajili ya ...

S0MA ZAIDI
Kilimo Cha Mananasi Tanzania

Kilimo Cha Mananasi Tanzania

Kilimo cha Mananasi Tanzania ni moja ya kilimo maarufu na hupendwa na walaji wengi hapa Tanzania kwasababu ya ladha yake tamu na harufu yake nzuri. Tunda hili laweza liwa mara tu baada ya kuvunwa, baada ya kulipika, au kama juisi. Nanasi ni chanzo kizuri cha vitamin A na B, pia inakiwango kingi tu cha vitamin C. ...

S0MA ZAIDI
Kilimo Bora Cha Bamia Tanzania

Kilimo Bora Cha Bamia Tanzania

Kilimo cha bamia ni maarufu sana kwa Tanzania na Bamia ni zao la mbogamboga linalotambulika kitaalamu kama Abelmoschus esculentus lenye asili ya Ethiopia na Afrika ya magharibi. Kwa sasa kilimo hiki kinalimwa katika nchi nyingi hasa sehemu za joto. Baadhi ya maeneo yanayolima kilimo cha bamia kwa Tanzania ni ...

S0MA ZAIDI
Kilimo Cha Pamba Tanzania

Kilimo Cha Pamba Tanzania

Kilimo cha Pamba hulimwa nchini Tanzania na hukuzwa mikoa mbalimbali na pia pamba ndio hutumika kutengenezea uzi na nguo. Pia mbegu za pamba hutumika kutengeza mafuta, mafuta ambayo tunatumia kupikia na mashudu ya mbegu yana kiasi cha protein ambayo mashudu hayo hutumika kama chakula kwa mifugo. Hali Ya Hewa ...

S0MA ZAIDI
Utangulizi wa Kilimo Bora Cha Miti Tanzania

Utangulizi wa Kilimo Bora Cha Miti Tanzania

Kilimo cha miti Tanzania kimeendelea kuja kwa kasi hapa nchini Licha ya kwamba uwekezaji katika aina hii ya kilimo huchukua muda mrefu kuona faida yake na inaelezwa kuwa utajiri wake ni mkubwa na watanzania wengi zaidi wanatakiwa kuchangamkia kilimo hiki cha miti. Kuanzisha Shamba La Kilimo cha Miti ...

S0MA ZAIDI
Aina za Udongo Tanzania

Aina za Udongo Tanzania

Udongo ni rasilimali muhimu sana Tanzania inayotumiwa katika shughuli mbalimbali ikiwemo kilimo ambacho kinategemewa na watanzania kuendesha uchumi wa taifa. Lakini uharibifu wa mazingira umechangia kushuka kwa thamani ya ardhi na kuathiri kilimo cha mazao, mifugo na uvuvi. Kutokana na mabadiliko ...

S0MA ZAIDI
Utangulizi wa Kilimo Bora Cha Matikiti Maji Tanzania

Utangulizi wa Kilimo Bora Cha Matikiti Maji Tanzania

Kilimo cha tikiti maji kimekuwa kikijizolea umaarufu mkubwa hapa nchini na Wakulima wengi zaidi wamekuwa wakihamia kwenye kilimo hiki cha matikiti miaka ya hivi karibuni. Katika mijadala mbalimbali ya fursa za kilimo, kilimo cha matikiti ni nadra sana kukosekana. Hapa Tanzania soko la tikiti maji ni zuri ...

S0MA ZAIDI
Utangulizi wa Kilimo Bora Cha Alizeti Tanzania

Utangulizi wa Kilimo Bora Cha Alizeti Tanzania

Kilimo cha alizeti Tanzania kimechangia kwa kiasi kikubwa kuwainua wakulima kiuchumi na kuongeza pato la taifa Pia Mbegu za zao la alizeti hutengeneza mafuta ambayo yanatumika kupikia. Makapi yanayotokana na mbegu za alizeti ni chakula bora kwa mifugo. Kwa mujibu wa takwimu kutoka  kitengo cha mbegu za mafuta ...

S0MA ZAIDI
Utangulizi wa Kilimo Bora Cha Mtama Tanzania

Utangulizi wa Kilimo Bora Cha Mtama Tanzania

Katika utangulizi wa kilimo cha mtama Tanzania mtama ni kundi la mbegu ndogo aina ya nafaka ambayo kwa jina la kisayansi unajulikana kama Sorghum bicolor. Mtama ni moja ya mazao yanayolimwa sana duniani kote kwa ajili ya chakula na lishe Mtama hutoa mazao mengi hata kwenye hali ambayo haifai kwa kilimo cha aina ...

S0MA ZAIDI
Utangulizi wa Kilimo Bora Cha Korosho Tanzania

Utangulizi wa Kilimo Bora Cha Korosho Tanzania

Korosho ni mbegu inayokua kwenye mti wa mkorosho Pia Korosho yenyewe inakua pamoja na tunda linaloitwa bibo na mbegu huonekana nje. Kati ya mwaka 1560 na 1565 mti huu ulipelekwa hadi Goa, India na mabaharia wa Ureno kutoka hapo ulienea kusini mashariki kwa Asia na mwishoni kufika barani Afrika. Vitu vya Ukweli ...

S0MA ZAIDI
Kilimo Cha Binzari Tanzania

Kilimo Cha Binzari Tanzania

Kilimo cha binzari Tanzania asili yake ni Mashariki ya Mbali, na hulimwa zaidi katika mkoa wa Tanga, Kagera, Kilimanjaro, Morogoro na Zanzibar.  Mahitaji Kwenye Kilimo Cha Binzari Hali Ya Hewa Binzari Humea vizuri maeneo yenye kiasi cha joto la nyuzi 24-26 za sentigredi na huzalishwa maeneo ya ...

S0MA ZAIDI
Utangulizi wa Kilimo Bora Cha Parachichi Tanzania

Utangulizi wa Kilimo Bora Cha Parachichi Tanzania

Kilimo cha parachichi kinaendelea kukua sana Tanzania Pia kilimo hichi cha maparachichi hakihitaji fedha nyingi na bali ni subira ya ukuaji wa matunda ya Parachichi. Tanzania kilimo hichi kimeanza kushika kasi zaidi mwaka 2015 ambapo baadhi ya watu walijitokeza na kuelezea mafanikio waliyopata kutokana na kilimo ...

S0MA ZAIDI
Mwanzo wa Kilimo Bora Cha Viazi Vitamu Tanzania

Mwanzo wa Kilimo Bora Cha Viazi Vitamu Tanzania

Viazi vitamu ni moja kati ya mazao makuu ya mizizi Kutokana na uwezo wake wa kuvumilia ukame, zao hili la viazi vitamu ni moja kati ya mazao ya kinga ya njaa Hapa nchini zao hili la viazi vitamu hulimwa zaidi katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Dodoma, Morogoro, Kagera, Arusha na Ruvuma. Kuna aina mbalimbali ...

S0MA ZAIDI
Faida Ya Mbolea za Asili

Faida Ya Mbolea za Asili

Mbolea za asili ni nzuri na kuna Faida za matumizi ya mbolea za mboji katika kilimo cha mazao mbali mbali na zifuatzano ni baadhi ya faida za mbolea za asili. Faida za Mbolea Utengenezaji wa mbolea ya mboji hauna gharama na ni rahisi hivyo wakulima wa ngazi zote wanaweza kuumudu.Mbolea ya mboji huboresha ...

S0MA ZAIDI
Utangulizi wa Kilimo Bora Cha Viazi Vitamu Tanzania

Utangulizi wa Kilimo Bora Cha Viazi Vitamu Tanzania

Viazi vitamu ni moja kati ya mazao makuu ya mizizi Tanzania. Kutokana na uwezo wake wa kuvumilia ukame pia zao hili ni moja kati ya mazao ya kinga ya njaa. Hapa Tanzania zao la viazi vitamu hulimwa zaidi katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Dodoma, Morogoro, Kagera, Arusha na Ruvuma. Kuna aina mbalimbali za ...

S0MA ZAIDI
Kilimo Cha Karoti Tanzania

Kilimo Cha Karoti Tanzania

Karoti ni kilimo cha zao la mbogamboga ambalo ni zao mzizi, kwa kawaida Tanzania hupatikana katika rangi ya machungwa, nyekundu na njano. Karoti hutumika sana kwaajili ya kuongeza radha kama kiungo kwenye mboga au kwenye kachumbari na pia zinafaida kubwa katika mwili kwa kukupatia vitamin A na C pamoja na madini ...

S0MA ZAIDI
Kilimo Bora Cha Nyanya Na Soko La Nyanya Tanzania

Kilimo Bora Cha Nyanya Na Soko La Nyanya Tanzania

Kilimo cha Nyanya Tanzania Hufanywa kwa kiasi kikubwa katika maeneo mengi ya tanzania Pia Nyanya ni miongoni mwa mazao jamii ya mboga mboga. Tunda la nyanya hutumika kama kiungo muhimu katika mapishi na utengenezaji wa kachumbari na pia kama tunda. Faida za Kilimo cha Nyanya Nyanya ni chanzo kizuri ...

S0MA ZAIDI
Utangulizi wa Kilimo Bora Cha Mihogo Tanzania

Utangulizi wa Kilimo Bora Cha Mihogo Tanzania

Kilimo cha Mihogo Tanzania ni moja ya kilimo ambacho kinalimwa sana tanzania hasa kutokana na tabia yake ya kuvumilia sana hali ya ukame. Tanzania wakulima wengi hasa wadogo hupendelea kuchanganya zao la mihogo pamoja na mazao mengine kama maharage, kunde, mbaazi, njugu mawe n.k. Mambo ya kuzingatia katika ...

S0MA ZAIDI
Kilimo Bora Cha Umwagiliaji Tanzania

Kilimo Bora Cha Umwagiliaji Tanzania

Katika kilimo cha umwagiliaji Tanzania Wakulima wengi hawana uelewa kuhusu kilimo cha umwagiliaji hivyo mvua inakuwa chanzo pekee cha wao kupata maji ya uhakika. Mbali na kutokuwa na elimu ya kutosha kuhusu aina hiyo ya kilimo, wakulima wengi pia huchagua kuamini kuwa kilimo cha umwagiliaji hufanywa na watu wenye ...

S0MA ZAIDI
Wauzaji
Logo
Enable registration in settings - general