Kilimo cha Kabichi Kwa Tanzania ni maarufu sana pia zao la cabbage hustawi zaidi katika mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Morogoro, Tanga, Iringa na Mbeya.
Kabichi ina madini aina ya chokaa, kambakamba, protini na maji kwa wingi pia Cabbage inaweza kuliwa bila kupikwa au kuchemshwa kwa kutengeneza kachumbari.
Pia ...
Kilimo cha Mkonge ni moja kati Kilimo cha biashara Tanzania Asili ya zao hili ni Mexico na baadae likasambaa katika nchi nyingine nyingi ikiwemo Tanzania
Na kwa mara ya kwanza lilitambushwa katika nchi za kitropikia na subtropikia India, Tanzania, Brazil, Kenya south Africa, Angola, Mozambique, ...
Kilimo cha Mboga mboga ni kizuri sana kwa sababu mboga ni sehemu yoyote ya mmea inayoweza kuliwa na binadamu ambayo haina sukari kama matunda.
Mboga huweza kuliwa zikiwa zimepikwa na mara nyingi huwekewa chumvi ili kuongeza ladha na pia huweza kuliwa zikiwa mbichi kwa mfano kwenye kachumbari.
Mboga ni sehemu ...
Kilimo cha Papai ni kilimo kizuri sana hapa Tanzania na mapapai ni moja ya matunda ambayo ni maarufu pia ni mazuri sana kwa afya.
Ekari moja ya papai inachukua miche 1000-1200 kwa maana ya mita mbili kwa mbili kutoka mti hadi mti na hii ni kwa ile mbegu fupi.
Ukilima kwa kufuata utaalamu ni kwamba mti mmoja ...
Kilimo cha umwagiliaji Tanzania ni kizuri ila Wakulima wengi hawana uelewa kuhusu kilimo cha umwagiliaji hivyo mvua inakuwa chanzo pekee cha wao kupata maji ya uhakika.
Mbali na kutokuwa na elimu ya kutosha kuhusu aina hiyo ya kilimo, wakulima wengi pia huchagua kuamini kuwa kilimo cha umwagiliaji hufanywa na watu ...
Kilimo cha Mihogo ni kizuri sana kwa Tanzania pia ni zao linalo stahimili sana ukame na ni zao la chakula na pia ni zao la biashara.
Maelezo Ya Kilimo Cha Mihogo
Kwenye ukanda wa Ikweta zao hili hulimwa hadi mita 1500 kutoka usawa wa bahari pia halijoto ya 20-30° hufaa kwa kilimo cha mihogo.
Zao hili ...
Kilimo cha Parachichi Tanzania ni Kilimo kizuri sana na tunda hili lina faida nyingi sana, mbali ya parachichi kutumika kama zao la kiuchumi lakini pia hutumika kuimarisha afya ya mwili.
Faida za Kula Parachichi Mwilini
Lina Vitamini A - husaidia sana kuimarisha Macho kuona vizuri
Lina Vitamini B (B1-B12)- ...
Kilimo cha Maharage ya Soya, Soya ni miongoni mwa mazao jamii ya mikunde kama maharage, kunde na mbaazi. zao hili ni muhimu sana kwa afya kutokana na kiwango kikubwa cha protini kilichonacho.
Kiwango cha protini kwenye soya ni kuanzia asilimia 35% hadi 40% na mafuta 15% hadi 22% vilevile zao hili lina ...
Kilimo cha Minazi Tanzania ni kilimo kizuri sana na ili kupata mnazi ulio bora mkulima ni lazima awe muangalifu wakati wa kupanda minazi.
Mche uliopandwa vibaya huchelewa kukua na hata wakati mwingine hufa pia Mazingira kama vile aina ya udongo, kiasi cha mvua, joto, na mwinuko lazima yaangaliwe kwa makini kabla ...
Aina za udongo ni nyingi na Udongo ni rasilimali muhimu sana Tanzania inayotumiwa katika shughuli mbalimbali ikiwemo kilimo ambacho kinategemewa na watanzania kuendesha uchumi wa taifa.
Lakini uharibifu wa mazingira umechangia kushuka kwa thamani ya ardhi na kuathiri kilimo cha mazao, mifugo na uvuvi.
Kutokana ...
Kilimo cha bilinganya ni kilimo kizuri kwa Tanzania pia zao la bilinganya huwapatia wakulima faida nzuri kwasababu bilinganya hutumiwa sana kwenye mapishi.
Zao la bilinganya huhitaji hali yajoto la wastani, udongo wenye kina kirefu na rutuba ya kutosha na usiotuamisha maji.
Aina za Bilinganya
Aina za ...
Mbolea za asili ni nzuri na kuna Faida za matumizi ya mbolea za mboji katika kilimo cha mazao mbali mbali na zifuatzano ni baadhi ya faida za mbolea za asili.
Faida za Mbolea
Utengenezaji wa mbolea ya mboji hauna gharama na ni rahisi hivyo wakulima wa ngazi zote wanaweza kuumudu.Mbolea ya mboji huboresha ...
Kilimo cha alizeti Tanzania kimechangia kwa kiasi kikubwa kuwainua wakulima kiuchumi na kuongeza pato la taifa Pia Mbegu za zao la alizeti hutengeneza mafuta ambayo yanatumika kupikia.
Makapi yanayotokana na mbegu za alizeti ni chakula bora kwa mifugo. Kwa mujibu wa takwimu kutoka kitengo cha mbegu za mafuta ...
Katika utangulizi wa kilimo cha mtama Tanzania mtama ni kundi la mbegu ndogo aina ya nafaka ambayo kwa jina la kisayansi unajulikana kama Sorghum bicolor.
Mtama ni moja ya mazao yanayolimwa sana duniani kote kwa ajili ya chakula na lishe Mtama hutoa mazao mengi hata kwenye hali ambayo haifai kwa kilimo cha aina ...
Kilimo cha binzari Tanzania asili yake ni Mashariki ya Mbali, na hulimwa zaidi katika mkoa wa Tanga, Kagera, Kilimanjaro, Morogoro na Zanzibar.
Mahitaji Kwenye Kilimo Cha Binzari
Hali Ya Hewa
Binzari Humea vizuri maeneo yenye kiasi cha joto la nyuzi 24-26 za sentigredi na huzalishwa maeneo ya ...
Kilimo cha bamia ni maarufu sana kwa Tanzania na Bamia ni zao la mbogamboga linalotambulika kitaalamu kama Abelmoschus esculentus lenye asili ya Ethiopia na Afrika ya magharibi.
Kwa sasa kilimo hiki kinalimwa katika nchi nyingi hasa sehemu za joto. Baadhi ya maeneo yanayolima kilimo cha bamia kwa Tanzania ni ...
Kilimo cha Mananasi Tanzania ni moja ya kilimo maarufu na hupendwa na walaji wengi hapa Tanzania kwasababu ya ladha yake tamu na harufu yake nzuri.
Tunda hili laweza liwa mara tu baada ya kuvunwa, baada ya kulipika, au kama juisi. Nanasi ni chanzo kizuri cha vitamin A na B, pia inakiwango kingi tu cha vitamin C.
...
Kilimo cha Mihogo Tanzania ni moja ya kilimo ambacho kinalimwa sana tanzania hasa kutokana na tabia yake ya kuvumilia sana hali ya ukame.
Tanzania wakulima wengi hasa wadogo hupendelea kuchanganya zao la mihogo pamoja na mazao mengine kama maharage, kunde, mbaazi, njugu mawe n.k.
Mambo ya kuzingatia katika ...
Kilimo cha Pilipili Manga kwa Tanzania ni kilimo kiziuri sana kwa kiingereza huitwa black pepper. zao hili kwa Tanzania linalimwa zaidi katika mkoa wa Tanga na Zanzibar.
Matumizi Ya Pilipili Manga
Pilipili nyeusi na nyeupe zote hutumika kwa mapishi ya nyama, samaki na kwa mapishi mengine mbalimbali pia nchi za ...
Kilimo cha Maboga ni kilimo maarafu kwa Tanzania pia maboga ni zao ambalo mmea wake unakuwa kwa kutambaa na ni la mviringo na rangi yake ni ya njano inayoelekea kwenye rangi ya chungwa au rangi ya kijani.
Asili Ya Kilimo cha Maboga
Asili ya maboga ni Amerika kaskazini, maboga yamekuwa yakipandwa kwaajili ya ...
Kilimo cha matikiti maji inakubidi uwe na sehemu ya kutosha, yenye jua la kutosha, maji mengi na ardhi yenye rutuba ya kutosha pia matikiti maji hukua haraka.
Kwa mtu ambaye anaanza kilimo cha matikiti yatampa tabu kidogo tofauti na Yule ambaye ana ujuzi kidogo na mambo ya kilimo kwa sababu yanahitaji umakini ...
Kilimo cha viazi mviringo ni kilimo kizuri kwa Tanzania kwasababu viazi mviringo ni moja ya mazao muhimu katika mazao ya mizizi.
Mambo Muhimu Katika Kilimo Cha Viazi
Ubora wa zao la viazi mviringo hutegemea sana matunzo ya zao hilo wakati wa uzalishaji. Viazi vinavyopata matunzo mazuri hutoa mazao yenye ubora ...
Kilimo cha minazi mkulima inafaa mkulima kufahamu kuna aina mbali mbali za minazi na ina mahitaji tofauti katika ukuaji.
Ujuzi huu utamsaidia katika kuchagua aina ya minazi itakayofaa kwa eneo lake na kwa kiwango chake cha utunzaji.
Aina za Minazi Tanzania
Minazi mirefu ya asili
Minazi mifupi
Minazi ...