Mara nyingi watu hawa huwa na mfuatano au mpangilio mzuri na unaoeleweka wa kazi au maamuzi yao. Kwa kifupi watu hawa hufanikiwa sana na ndiyo huitwa watu waliojipanga.
1. Watu Waliofanikiwa Huwa Wanaandika Kila Kitu
Kuandika vitu ni njia mojawapo ya kutekeleza mambo kwa mpangilio. Watu waliojipanga huandika ...
Kuna baadhi ya watu inabidi kuwaepuka kwenye maisha Tanzania kwasababu wanaweza kukurudisha nyuma kimaendeleo na uchumi wako ukaporomoka.
1. Jitahidi Kuwaepuka Watu Wanaohoji Kila Kitu
Watu wanaohoji kila kitu hutafuta njia ya kupinga na kukosoa kila unachokifanya. Utatumia muda mwingi kuwaelewesha lakini ...
Mambo mapya ya kuzingatia na ambayo usiyoyajua kuhusiana na pesa pamoja na jinsi ya kutunza pesa kwenye maisha ya kila siku Tanzania
Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara na Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake.
Usitumie pesa ambayo bado ...
Kumeshuhudiwa watu wakiishi maisha ya taabu na mahangaiko makubwa baada ya kustaafu na Hili linatokana na kutokujiandaa vyema kabla ya kustaafu.
1. Jitahidi Kujiandaa Kisaikolojia
Kustaafu ni kipindi tofauti sana na kipindi ulichokuwa kwenye ajira. Kipindi hiki utakutana na mtindo mpya wamaisha tofauti na ule ...
Kusafiri kuna faida nyingi unazopaswa kuzifahamu Swala la kusafiri au kutembelea maeneo mbalimbali halijazoeleka sana kwetu waafrika kama ilivyo kwa wenzetu wazungu.
Kusafiri siyo lazima kwenda nchi nyingine, bali hata safari za ndani ya nchi au za ndani ya eneo lako zina maana kubwa.
1. Kusafiri Kunasaidia ...
Unywaji wa pombe husababisha matatizo makuwa ya kiafya kwa watu wengi Tanzania kama vile magonjwa ya moyo, ini pamoja na majeraha yatokanayo na ajali zitokanazo na ulevi.
Ni dhahiri kuwa vinywaji halisi vilivyotengenezwa kwa matunda bila kilevi ni bora zaidi kwa afya yako kuliko vile vyenye kilevi.
1. Pombe ...
Jinsi Ya kufanikiwa mapema kwenye maisha hapa Tanzania ni muhimu kufahamu ili uweze kufikia malengo ya mafanikio kwa haraka
1. Jitahidi Kusoma Vitabu
Kupitia vitabu unaweza kujifunza mambo mbali mbali kama vile:
Njia za kukabiliana na matatizo mbalimbali.Njia za kufanya mambo mbalimbali kwa ufanisi.Jinsi ya ...
Watu wengi Tanzania wanapata pesa lakini si wote wanaoweza kuzitumia vyema. Wengi hujikuta wakizitumia kwenye mambo na mipango ambayo mwishoni haiwaletei tija katika maisha yao.
1. Weka bajeti kwenye maisha
Ni rahisi kusikia watu wakilalamikia bajeti za serekali na kuzikosoa lakini wao wenyewe hawana bajeti zao ...
Kutokana na hali ngumu ya kiuchumi au changamoto za maisha watu wengi hutekwa na mambo mbalimbali hasa yale yanayohusu kupata pesa za haraka.
Nilipofanya utafiti mdogo nilibaini kuwa “njia za kupata pesa kwa haraka” pamoja na “njia za kupata utajiri kwa haraka” ni moja kati ya vitu vinavyotafutwa sana na watu ...
Kujifunza kingereza kunaweza kuwa ni kugumu lakini inawezekana na Kusoma Kiingereza inawezekana lakini kuna mambo kadhaa unatakiwa kuyafahamu na kuyafanya kwa uhakika.
1. Jitahidi Kupenda Kingereza
Ili uweze kufanya au kujifunza kitu chochote ni lazima kwanza ukipende. Ikiwa unataka kufahamu Kiingereza kwa muda ...
Kuna mambo mengi umekuwa ukijiuliza ni kwa namna gani utajikwamua katika hali ngumu za kimaisha ila kuna njia mbalimbali ambazo unaweza kuzitumia na kutoka kimaisha.
Zifuatazo ni mbinu ambazo unaweza kuzitumia ili uweze kufanikiwa katika mambo yako.
1. Weka malengo ambayo yatakuwa mwongozo wako.
Siku zote ...
Ukweli ni kuwa kufundisha na kuwaelewesha watu wengine kwenye maisha ni swala lenye manufaa mengi ambayo watu wasiofanya hivyo wanayakosa.
1. Kuwasaidia Watu Huongeza Maarifa
Kufundisha wengine ni njia bora ya kuongeza maarifa yako. Kwanza kabisa utahitajika kujiandaa kwa kusoma na kujifunza mambo mbalimbali ...
Kufahamu jinsi ya kuepuka madeni ni muhimu sana kwenye maisha kwasababu madeni siyo kitu kizuri hasa ikiwa hayatalipwa kwa wakati.
1. Jitahidi Kutengeneza na Bajeti
Utawasikia watu wakikosoa bajeti ya serekali lakini hawana bajeti zao binafsi. Bajeti binafsi ni muhimu kwani hukuwezesha kupanga juu ya mapato na ...
Ratiba siyo muhimu tu kwa ajili ya taasisi fulani pekee ni muhimu pia kwa mtu binafsi. Watu wengi hushindwa kutumia muda wao vyema kutokana na kutokuwa na ratiba nzuri inayoeleweka.
1. Ratiba insaidia Kutumia Muda Vyema
Moja kati ya manufaa makubwa ya kuwa na ratiba ni kuweza kutumia muda vyema. Unapokuwa na ...
Wivu kwenye maisha hauwaathiri wale walio nao pekee, ni vyema nawe ukafahamu tabia za watu wenye wivu ili uwaepuke wasije wakakuathiri kwa kukurudisha nyuma katika hatua zako za maendeleo.
1. Huwa Hawapendi Mafanikio Ya Wengine
Moja kati ya tabia kubwa ya watu wenye wivu ni kutostaajabishwa na mafanikio ya ...
Watu waliofanikiwa katika maisha huweza kufanya maamuzi ambayo yanazingatia matokeo ya kuapata mafanikio mbeleni kupitia maamuzi hayo.
Ni dhahiri kuwa watu waliofanikiwa ni tofauti na watu wengine kutokana na yale wanayoyafanya au kutofanya.
1. Watu Waliofanikiwa Hawapuuzi Uwekaji wa Akiba
Katika maisha ya ...
Faida za kukosea kwenye maisha ni muhimu kuzifahamu na unaweza kujifunza kutokana na makosa mbalimbali unayoyafanya kila mara maishani mwako.
1. Makosa Hutuonyesha Mambo Tusiyoyafahamu
Ni wazi kuwa makosa mengine hutokea kwa kufanya vitu au maamuzi tusiyoyafahamu vyema. Kwa njia ya makosa hayo tutaweza kufahamu ...
Ni watu wachache sana Tanzania ndiyo wanaopenda na wanafahamu umuhimu wa kusoma vitabu. Watu wengi hasa waafrika hawapendi kusoma vitabu.
Kuna maarifa mengi yaliyofichwa kwenye vitabu hii ndiyo sababu watu wengi waliofanikiwa husoma au hata kuandika vitabu.
1. Kusoma Vitabu Huongezea Maarifa Mapya
...
Watu wengi hufikiri kuwa mafanikio kwenye maisha ni jambo linalotokea kwa bahati lakini mafanikio ni matokeo ya tabia au mikakati inayofanywa mara kwa mara.
1. Jitahidi Kuwa na Mipango
Watu waliofanikiwa hawafanyi kazi bila mipango madhubuti. Watu hawa hupanga mipango mbalimbali wanayotakiwa kuitekeleza na ...