Wauzaji Business
Mambo Ya Kuzingatia Unapofanya Biashara Mtandaoni

Mambo Ya Kuzingatia Unapofanya Biashara Mtandaoni

Vitu vya kuzingatia unapofanya biashara mtandaoni Tanzania ni muhimu kufahau mapema kwasababu Kufanya biashara kwenye mtandao ni jambo lenye faida na changamoto zake. Unaweza ukawa na bidhaa nzuri sana lakini ukumbuke kuwa kila siku kunaanzishwa tovuti za kuuza bidhaa mtandaoni. Haijalishi kuwa wewe ni ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kuchagua Hosting Bora Ya Website

Jinsi Ya Kuchagua Hosting Bora Ya Website

Kuna mahali ambapo kila tovuti au blog hutunzwa, mahali hapo ndipo hufahamika kama web host. Web host bora ni muhimu sana kwa ajili ya tovuti au blog yako. Watu wengi wamekuwa wakifanya makosa wakati wa kuchagua web host kutokana na uelewa mdogo juu ya umuhimu wa web host bora pamoja na njia za kubaini web host ...

S0MA ZAIDI
Sifa za Jina Bora La Biashara Tanzania

Sifa za Jina Bora La Biashara Tanzania

Kuchagua Jina la biashara Tanzania ni hatua muhimu na inabidi utambue sifa za jina la biashara ila watu wengi wamekuwa hawatilii maanani mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kuchagua jina la biashara. 1. Jina la biashara liendane na huduma unayotoa Je unafahamu kwamba jina la biashara linatakiwa liakisi huduma ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kuchagua Domain Nzuri Ya Biashara

Jinsi Ya Kuchagua Domain Nzuri Ya Biashara

Domain ni muhimu sana kwa ajili ya utambulisho wa website au blog ya kile unachokifanya. Inawezekana una majina mengi ambayo unataka uyatumie kama domain ya mtandao ya tovuti au blog yako. Lakini ni muhimu kufahamu kuwa ukifanya makosa kwenye kuchagua anwani ya mtandao utaathirika kwa kiasi kikubwa. Madhara ya ...

S0MA ZAIDI
Faida Ya Biashara Ya Juice Ya Miwa Tanzania

Faida Ya Biashara Ya Juice Ya Miwa Tanzania

Biashara ya kutengeneza juice ya miwa ina faida hivyo imekuwa maarufu sana katika mikoa mbalimbali hapa Tanzania. Hii inatokana na kinywaji cha juice ya miwa kuwa na faida nyingi katika mwili wa binadamu. Faida ya juice ya miwa mwilini na kwenye biashara Juice ya miwa inasaidia ni kusafisha mkojo, figo na ...

S0MA ZAIDI
Faida za Kupanga Bajeti Kwenye Biashara

Faida za Kupanga Bajeti Kwenye Biashara

Faida na umuhimu wa kupanga bajeti ya biashara yako Tanzania pamoja na manufaa ya kupanga bajeti kwenye maisha ya kila siku kwa ujumla. 1. Utaelewa Fedha Zako Mahali Zinapo kwenda Ukiwa hauna bajeti na unaingiza kipato kila siku au kila mwezi unaweza ukawa unapata pesa nzuri sana lakini ukawa huelewi fedha ...

S0MA ZAIDI
Biashara 12 Ambazo Haziitaji Kabisa Mtaji Tanzania

Biashara 12 Ambazo Haziitaji Kabisa Mtaji Tanzania

Biashara za mtaji mdogo wengi huamini kuwa lazima uwe na fedha ndio uanzishe biashara na ndio sababu yao kuu ya kukaa bila kujishughulisha Ukweli ni kwamba mtaji ni moja ya kitu muhimu sana katika kuanzisha biashara lakini kuna aina ya Biashara Ndogondogo unazoweza kuanzisha na kukupelekea kupata faida kubwa sana. ...

S0MA ZAIDI
Mbinu za Jinsi Ya Kufanikiwa Katika Biashara Tanzania

Mbinu za Jinsi Ya Kufanikiwa Katika Biashara Tanzania

Jinsi ya kufanikiwa katika biashara tanzania na mbinu ambazo zitapelekea kupata mafanikio katika kuendesha na kukuza biashara yako ukiwa tanzania 1. Katika Biashara Uza Bidhaa Zenye mashiko Kupata wateja kwenye biashara yako unatakiwa kuwa na kile wanachohitaji. Huwezi kuuza mwavuli msimu ya jua kali kwani ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kufanikiwa Kwenye Biashara za Tanzania

Jinsi Ya Kufanikiwa Kwenye Biashara za Tanzania

Mambo ya muhimu ya kuzingatia siku zote ili uweze kufanikiwa katika biashara mbalimbali kwa hapa Tanzania katika mkoa wowote uliopo Jinsi ya kufanikiwa katika biashara? Jipange kibiashara kufanikiwa katika biashara unahitaji kujipanga Kujipanga kutakusaidia kukamilisha mipango yako na kukaa kwenye malengo ya ...

S0MA ZAIDI
Biashara za Mtandaoni zenye Faida Kwa Tanzania

Biashara za Mtandaoni zenye Faida Kwa Tanzania

Biashara za mtandaoni zinazoingiza pesa Biashara Ya Kuanzisha Tovuti Kuna tovuti chache sana zilizopo kwa lugha ya kiswahili na hiyo peke yake ni fursa tosha kwako kuanzisha tovuti na kutengeneza kipato. Kama unafikiria kufanya hivi ni muhimu kuhakikisha kuwa unajua nini hasWa wasomaji wako wanataka ...

S0MA ZAIDI
Faida za Kuanzisha Biashara Ukiwa na Umri Mdogo

Faida za Kuanzisha Biashara Ukiwa na Umri Mdogo

Faida na umuhimu wa kuanza kuanzisha Biashara Tanzania ukiwa bado na umri mdogo pamoja na mtaji kidogo. 1. Utapata Uzoefu wa Biashara Mtu ili upate uzoefu wa jambo lolote lazima uwe umefanya jambo hilo kwa muda flani angalau miaka mitatu na kuendelea.  Pia hata Katika Biashara yoyote ukiwa umesha wahi ...

S0MA ZAIDI
Wauzaji
Logo