Changamoto za biashara kwa wajasiriamali wadogo wa Tanzania ni nyingi na wamekuwa wakikabiliwa zaidi na changamoto na hata kupelekea kupoteza biashara au miradi yao.
1. Jinsi ya kupata mtaji wa biashara
Kila biashara inahitaji mtaji ili iweze kujiendesha na kujipanua. Wajasiriamali wengi wanashindwa kuanzisha ...
Mara nyingi tunanunua vitu na bidhaa mbalimbali Tanzania bila kuzifahamu au kuzichunguza vyema Hili limepelekea watu wengi kununua bidhaa zisizofaa kwao au zenye madhara kwenye afya zao.
Kutokana na ukosefu wa elimu pamoja na kuishi kwa mazoea, watu wengi hawajui wala hawachunguzi vyema bidhaa wanazozinunua ili ...
Tangazo ni ujumbe wowote wenye kufanya kazi ya kutangaza kitu au huduma fulani. Kutangaza ni kitendo cha kuwafahamisha wateja kwa kuwawezesha kufahamu kuhusu huduma au bidhaa fulani unayoitoa katika biashara yako.
Jinsi ya kuandaa Tangazo La biashara kwa urahisi.
Hizi ni hatua sita pale unapotaka ...
Wengi hutamani kuanza ujasiriamali na kuwa wafanyabiashara wakubwa Tanzania lakini siyo wote wanaofanikiwa kutokana na kutokufahamu kanuni muhimu za ujasiriamali.
1. Jitahidi Kuwa Mtatuzi wa Matatizo
Ujasiriamali ni zaidi ya kupata pesa, ni lazima kwanza utatue changamoto ya mtu ndipo utaweza kupata pesa kutoka ...
Faida za kutangaza biashara kwenye Mitandao ya kijamii?
Gharama ya Kujitangaza ni ndogo sana
Gharama ya mitandao ya kijamii ni nafuu sana na programu nyingi za mitandao ya kijamii ni bure. Kutangaza kupitia mitandao ni rahisi mno ukilinganisha na njia za kawaida tulizo zoea.
Inaongeza ufahamu wa biashara ...
Jinsi Ya Kupata Mtaji imekuwa kikwazo kwa wafanyabiashara walio wengi Asilimia kubwa wanapata wakati mgumu kuendeleza mawazo waliyonayo kutokana na kukosa mtaji kwa ajili ya kuanzisha biashara wanazotaka.
Kuna mbinu ambazo unaweza kutumia ili kupata mtaji kidogo wa fedha ambacho kitakuwezesha kuanzisha biashara ...
Mteja ni mtu muhimu sana katika biashara yoyote na Lengo la kuanzisha biashara ni kupata wateja watakaonunua bidhaa au huduma yako.
1. Wateja wapya wa biashara
Hawa ni wateja ambao huja kwenye biashara yako kwa mara ya kwanza, mnaweza kuwa mnafahamiana nje ya biashara, lakini hamjawahi kuhudumiana kwenye ...
Biashara ndogo ndogo zenye faida kubwa
Biashara Ya Juice na Matunda
Wauzaji wa matunda au juice za matunda moja kwa moja hupata wateja wengi kwanza unatakiwa kuhakikisha maandalizi ya juice au matunda yako ni nadhifu na yana mhamasisha mnunuaji kununua.
Biashara Ya Supu
Biashara ya Kuandaa supu nyumbani ...
Jinsi ya kuwekeza na sehemu za kuwekeza katika biashara hapa Tanzania ili iweze kukuletea faida kubwa siku za mbeleni.
Wekeza Katika Kujiendeleza Wewe Mwenyewe
Jiendeleze wewe mwenyewe Kufahamu yote yahusuyo Biashara unayo ifanya. Jiendeleze Kwa kuongeza ujuzi mbalimbali juu ya maswala mazima ya Biashara hiyo ...
Jinsi Ya Kupata mtaji wa biashara tanzania ni Moja kati ya changamoto kabla ya kuanza kufanya biashara au kuanzisha biashara yoyote Katika kipengele hiki naenda kujadili changamoto mbalimbali zinazotuzuia kufikia mafanikio makubwa kwenye biashara.
Jinsi Ya Kupata Mtaji wa Biashara
1. Tumia akiba zako kama ...
Hakuna mtu anayeanzisha biashara akitegemea ife, lakini wakati mwingine hili hutokea pia Utafiti umebaini kuwa biashara na kampuni nyingi hufa ndani ya kipindi cha miaka miwili hadi mitano tangu kuanzishwa kwake.
Kufa kwa biashara Tanzania siyo jambo zuri, ni wazi kuwa kila mtu nayefanya biashara atatamani kufanya ...
Jinsi ya kuvutia wateja kwenye biashara Tanzania ni muhimu sana na haijalishi huduma au bidhaa yako ni kubwa kiasi gani.
Biashara yako haitazalisha pesa kama wateja hawatakuwa tayari kununua bidhaa au huduma yako kwasababu kukiwa hakuna wateja basi hakuna biashara.
1. Jitahidi kutumia lugha nzuri
Katika ...
Njia za kupata wazo la biashara kwa Tanzania kama ukizifuata unaweza kujikuta umepata wazo bora la biashara na lenye faida kwa Tanzania.
Namna Ya Kupata Wazo la Biashara
1. Angalia Uhitaji wa Watu
Kabla hujaanza Biashara yako angalia uhitaji wa watu ambako unataka kuanzisha Biashara yako. Jiulize ni Bidhaa ...
Kulinda website au blog yako binafsi au ya biashara yako dhidi ya wadukuzi ni muhimu ili kuepusha hasara na uharibifu unaoweza kujitokeza.
1. Hakikisha unazingatia Updates
Programs kama vile WordPress, Joomla, Drupal pamoja na vipanuzi vyake (extensions na plugins) zinahitaji kusasishwa mara kwa mara ili ...
Website nyingi zinatengenezwa kila siku Tanzania, lakini siyo zote zinakidhi viwango vya ubora na inasababishwa na website nyingi kutengenezwa bila kuzingatia kanuni muhimu za utengenezaji wa tovuti au blog.
Zipo athari nyingi za kutengeneza website yenye ubora mdogo kama vile kupoteza wasomaji au watembeleaji ...
Changamoto ya huduma duni kwa wateja imekuwa kubwa sana kwenye biashara nyingi za kiafrika. Watoa huduma wengi hawajui na hawataki kufahamu umuhimu wa kutoa huduma nzuri kwa wateja.
1. Elewa hitaji la mteja
Kamwe huwezi kumhudumia mteja vizuri bila kufahamu hitaji lake. Mara mteja anapofika katika ...
Biashara ndogondogo zenye faida kubwa tanzania na ambazo zinalipa na pia zinazohitaji mtaji kidogo ili kuanzisha pamoja na kuiendesha ukiwa tanzania
1. Biashara ya juice za matunda
Biashara ya Juice ya Matunda ya elfu kumi inaweza toa had lita kumi za juice ambapo lita moja ni sawa na glass tano au nne za juice ...
Kwanza unahitajika kuwa na blog yako pia utahitajika kuwekeza muda wa kutosha pamoja na pesa kiasi fulani ili kuweza kuona matokeo kutokana na blog yako.
1. Unaweza Kuwa Wakala
Unaweza kupata pesa kwenye blog yako kwa njia ya kuwa wakala wa wauzaji wa bidhaa au huduma mbalimbali. Mara mtu anunuapo kitu kwa ...
Kutangaza Biashara ni muhimu Ili uweze kupata kupata wateja kwa wingi zaidi na ili ijulikane kwa wateja wengi zaidi hivyo basi matangazo yanasaidia sana katika kukuza biashara yako kwa ujumla.
Faida za Kutangaza Biashara
Kuongeza Wateja
Kadri unavyofanya matangazo ya biashara yako ndivyo unavyoongeza ...
Kuanza biashara kutoka kiwango cha sifuri siyo kazi rahisi ni muhimu kufahamu vitiu vya kuzingatia kabla ya kuanza biashara na jinsi ya kupambana na changamoto.
Hivi ndivyo wajasiriamali wengi wanavyojifunza na kukua. Unapokuwa kwenye biashara ni lazima ufahamu makosa ambayo yanaweza kuathiri biashara au uwekezaji ...
Biashara zinazolipa na zenye faida ambazo unaweza kuzifanya ukiwa karibu na maeneo ya chuo kwa hapa Tanzania.
1. Biashara Ya Nyumba Za Kupanga
Makazi ni hitaji muhimu sana kwa binadamu, hivyo sehemu ya vyuo wanafunzi watahitaji vyumba kwa ajiri ya kuishi pia wafanyakazi wa chuo nao ni mateja wa vyumba vya ...
Tabia na historia za watu waliofanikiwa katika biashara Tanzania mara nyingi kanuni huwa zinafanana kati ya mmoja na mwingine.
1. Watu Waliofanikiwa Wanajali Muda
Watu Waliofanikiwa huwezi ukawakuta kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook au wanaangalia tamthilia na filamu, wengi wao huutumia muda mchache ...
Kuna fikra potofu zimejengeka miongoni mwa watu wakidhani kuwa kufanya kazi kwa bidii ni utumwa. Hii ni kutokana na dunia ya sasa kujaa watu wasiopenda kazi na wavivu.
1. Bidii inasaidia Kutumia Muda Vyema
Huwezi kutumia muda vyema kama hutofanya kazi kwa bidii. Ukiwa na bidii katika kufanya kazi, unaweza ...
Jinsi Ya Kufanikiwa Katika Biashara Kwa Tanzania Kuna endana Sana na Tabia Ulizonazo Hivyo Hizi ni Baadhi Ya Siri za Kufanikiwa Katika Biashara
Sababu za Kutokufanikiwa Katika Biashara
Kukosa maarifa ya kutosha ya fedha
Unajua fedha inahitaji maarifa fulani kwenye namna ya kuingiza, kuwekeza pamoja na ...