Biashara za Tanzania
Mbinu za Jinsi Ya Kupata Mtaji wa Biashara Tanzania

Mbinu za Jinsi Ya Kupata Mtaji wa Biashara Tanzania

Jinsi Ya Kupata Mtaji imekuwa kikwazo kwa wafanyabiashara walio wengi Asilimia kubwa wanapata wakati mgumu kuendeleza mawazo waliyonayo kutokana na kukosa mtaji kwa ajili ya kuanzisha biashara wanazotaka. Kuna mbinu ambazo unaweza kutumia ili kupata mtaji kidogo wa fedha ambacho kitakuwezesha kuanzisha biashara ...

S0MA ZAIDI
Sababu zinazozuia Mafanikio Katika Biashara

Sababu zinazozuia Mafanikio Katika Biashara

Jinsi Ya Kufanikiwa Katika Biashara Kwa Tanzania Kuna endana Sana na Tabia Ulizonazo Hivyo Hizi ni Baadhi Ya Siri za Kufanikiwa Katika Biashara Sababu za Kutokufanikiwa Katika Biashara Kukosa maarifa ya kutosha ya fedha Unajua fedha inahitaji maarifa fulani kwenye namna ya kuingiza, kuwekeza pamoja na ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kutengeneza Pesa Online Tanzania

Jinsi Ya Kutengeneza Pesa Online Tanzania

Jinsi ya kutengeneza pesa online Kuanzisha blogu Kama wewe ni mwandishi unaweza kutengeneza pesa online kwa kuanzisha blogu yako na kuandika makala au habari mbalimbali Unachotakiwa kuzingatia ni mahitaji ya walengwa wako na kuwapa kile wanachotaka. Kama wewe ni shabiki mkubwa wa masuala ya mpira basi blogu ...

S0MA ZAIDI
Mambo Ya Kuzingatia Kabla Ya Kuanza Biashara

Mambo Ya Kuzingatia Kabla Ya Kuanza Biashara

Kuanza biashara kutoka kiwango cha sifuri siyo kazi rahisi ni muhimu kufahamu vitiu vya kuzingatia kabla ya kuanza biashara na jinsi ya kupambana na changamoto. Hivi ndivyo wajasiriamali wengi wanavyojifunza na kukua. Unapokuwa kwenye biashara ni lazima ufahamu makosa ambayo yanaweza kuathiri biashara au uwekezaji ...

S0MA ZAIDI
Siri za Mafanikio Katika Biashara Tanzania

Siri za Mafanikio Katika Biashara Tanzania

Siri mbalimbali za mafanikio katika maisha pamoja na mafanikio kwenye biashara ambazo matajiri na watu waliofanikiwa hawazisemagi kwa uwazi. 1. Fedha Siyo Makaratasi Watu wengi wamekuwa wanafikiria fedha ni yale makaratasi au sarafu ambazo tunazishika Na hapa ndipo wengi wanapokwama, kwa sababu wanakosa ule ...

S0MA ZAIDI
Biashara Ya Vifaa Vya Ujenzi Tanzania

Biashara Ya Vifaa Vya Ujenzi Tanzania

Biashara Ya Vifaa vya ujenzi tanzania ni nzuri sana lakini ili kufanikiwa katika biashara ya vifaa vya ujenzi kuna kuhitaji ujue mbinu za biashara pamoja na faida zake kwa tanzania 1. Litambue soko lako la Biashara Ya Vifaa Kulitambua soko ni pamoja na kutambua wateja tarajiwa wa vifaa vya ujenzi na mambo ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kutangaza Biashara Tanzania

Jinsi Ya Kutangaza Biashara Tanzania

Jinsi ya kutangaza biashara tanzania ni swala muhimu kwa kila biashara Tanzania ila Tatizo linatokea pale ambapo biashara inashindwa kumudu gharama za matangazo, hasa matangazo ya gharama kubwa. Naamini wewe kama mjasiriamali unafahamu kuwa kuna wakati bajeti ya biashara inakuwa imebana. Hivyo swala la kujitangaza ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kuchagua Domain Nzuri Ya Biashara

Jinsi Ya Kuchagua Domain Nzuri Ya Biashara

Domain ni muhimu sana kwa ajili ya utambulisho wa website au blog ya kile unachokifanya. Inawezekana una majina mengi ambayo unataka uyatumie kama domain ya mtandao ya tovuti au blog yako. Lakini ni muhimu kufahamu kuwa ukifanya makosa kwenye kuchagua anwani ya mtandao utaathirika kwa kiasi kikubwa. Madhara ya ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kuchagua Jina Zuri La Biashara Tanzania

Jinsi Ya Kuchagua Jina Zuri La Biashara Tanzania

Jinsi ya kuchagua jina la biashara tanzania na kuhakikisha jina la biashara yako linaendana moja kwa moja na biashara unayoifanya ukiwa tanzania Mambo ya kuzingatia katika kuchagua jina la biashara Usichukue Maoni Ya Kila Mtu Kwenye kuchagua jina la biashara Kila mtu huwa na mawazo yake hivyo mfanyabiashara ...

S0MA ZAIDI
Sifa za Jina Bora La Biashara Tanzania

Sifa za Jina Bora La Biashara Tanzania

Kuchagua Jina la biashara Tanzania ni hatua muhimu na inabidi utambue sifa za jina la biashara ila watu wengi wamekuwa hawatilii maanani mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kuchagua jina la biashara. 1. Jina la biashara liendane na huduma unayotoa Je unafahamu kwamba jina la biashara linatakiwa liakisi huduma ...

S0MA ZAIDI
Mambo Ya Kuzingatia Unapochagua Bank

Mambo Ya Kuzingatia Unapochagua Bank

Vitu vya kuzingatia unapochagua bank ya biashara ni muhimu kufahamu kwasababu benki ni taasisi muhimu ambayo siyo rahisi mtu kukwepa kuitumia kwa njia moja au nyingine. Kuhifadhi au kusafirisha pesa kwa njia za zamani kumepitwa na wakati sasa ni wakati wa kutumia mifumo salama na ya kisasa. Kwa kuwa benki ni ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kupata Mtaji wa Biashara Ndogo Tanzania

Jinsi Ya Kupata Mtaji wa Biashara Ndogo Tanzania

Jinsi ya kupata mtaji wa biashara Tanzania ni muhimu sana kwa kuwa watu wengi huanzisha biashara kwa lengo la kupata pesa ila huwa ni ngumu sana kupata mtaji. 1. Jitahidi kuweka akiba binafsi Mara kadhaa nimekuwa nikieleza kuwa kuweka akiba kuna manufaa mengi, ikiwemo kupata uwezo wa kuwahi fursa mbalimbali na ...

S0MA ZAIDI
Tabia za Watu Waliofanikiwa Katika Biashara

Tabia za Watu Waliofanikiwa Katika Biashara

Tabia na historia za watu waliofanikiwa katika biashara Tanzania mara nyingi kanuni huwa zinafanana kati ya mmoja na mwingine. 1. Watu Waliofanikiwa Wanajali Muda Watu Waliofanikiwa huwezi ukawakuta kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook au wanaangalia tamthilia na filamu, wengi wao huutumia muda mchache ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kuilinda Website Yako Ya Biashara

Jinsi Ya Kuilinda Website Yako Ya Biashara

Kulinda website au blog yako binafsi au ya biashara yako dhidi ya wadukuzi ni muhimu ili kuepusha hasara na uharibifu unaoweza kujitokeza. 1. Hakikisha unazingatia Updates Programs kama vile WordPress, Joomla, Drupal pamoja na vipanuzi vyake (extensions na plugins) zinahitaji kusasishwa mara kwa mara ili ...

S0MA ZAIDI
Faida za Kuanzisha Biashara Ukiwa na Umri Mdogo

Faida za Kuanzisha Biashara Ukiwa na Umri Mdogo

Faida na umuhimu wa kuanza kuanzisha Biashara Tanzania ukiwa bado na umri mdogo pamoja na mtaji kidogo. 1. Utapata Uzoefu wa Biashara Mtu ili upate uzoefu wa jambo lolote lazima uwe umefanya jambo hilo kwa muda flani angalau miaka mitatu na kuendelea.  Pia hata Katika Biashara yoyote ukiwa umesha wahi ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kupambana Na Changamoto za Biashara Tanzania

Jinsi Ya Kupambana Na Changamoto za Biashara Tanzania

Changamoto za biashara kwa wajasiriamali wadogo wa Tanzania ni nyingi na wamekuwa wakikabiliwa zaidi na changamoto na hata kupelekea kupoteza biashara au miradi yao. 1. Jinsi ya kupata mtaji wa biashara Kila biashara inahitaji mtaji ili iweze kujiendesha na kujipanua. Wajasiriamali wengi wanashindwa kuanzisha ...

S0MA ZAIDI
Faida za Kufanya Biashara Kwa Bidii Tanzania

Faida za Kufanya Biashara Kwa Bidii Tanzania

Kuna fikra potofu zimejengeka miongoni mwa watu wakidhani kuwa kufanya kazi kwa bidii ni utumwa. Hii ni kutokana na dunia ya sasa kujaa watu wasiopenda kazi na wavivu. 1. Bidii inasaidia Kutumia Muda Vyema Huwezi kutumia muda vyema kama hutofanya kazi kwa bidii. Ukiwa na bidii katika kufanya kazi, unaweza ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kuvutia Wateja Kwenye Biashara

Jinsi Ya Kuvutia Wateja Kwenye Biashara

Jinsi ya kuvutia wateja kwenye biashara Tanzania ni muhimu sana na haijalishi huduma au bidhaa yako ni kubwa kiasi gani. Biashara yako haitazalisha pesa kama wateja hawatakuwa tayari kununua bidhaa au huduma yako kwasababu kukiwa hakuna wateja basi hakuna biashara. 1. Jitahidi kutumia lugha nzuri Katika ...

S0MA ZAIDI
Biashara Ya Upigaji wa Picha Tanzania

Biashara Ya Upigaji wa Picha Tanzania

Biashara ya upigaji wa picha ni nzuri na pia Kama una vifaa vya kisasa vya kupiga picha basi unaweza kuanzisha biashara ya kupiga picha. Unaweza kupiga picha matukio yaliyozoeleka kama picha za harusi, wahitimu wa chuo pamoja na picha za mikutano. Jinsi ya kupata pesa kupitia upigaji wa picha Kupiga Picha ...

S0MA ZAIDI
Faida Ya Biashara Ya Juice Ya Miwa Tanzania

Faida Ya Biashara Ya Juice Ya Miwa Tanzania

Biashara ya kutengeneza juice ya miwa ina faida hivyo imekuwa maarufu sana katika mikoa mbalimbali hapa Tanzania. Hii inatokana na kinywaji cha juice ya miwa kuwa na faida nyingi katika mwili wa binadamu. Faida ya juice ya miwa mwilini na kwenye biashara Juice ya miwa inasaidia ni kusafisha mkojo, figo na ...

S0MA ZAIDI
Sifa za Wafanya Biashara Wakubwa Tanzania

Sifa za Wafanya Biashara Wakubwa Tanzania

Wajasiriamali wengi waliofanikiwa Tanzania wanafahamu na wanaziishi sifa za wajasiriamali bora. Ni wazi kuwa huwezi kuwa mfanyabiashara bora wakati unazo sifa za mwajiriwa. 1. Wafanya biashara wakubwa wana malengo Malengo ni mwongozo wa kukuwezesha kufanikisha jambo lolote. Kuwa na malengo ni sifa muhimu ambayo ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kuanzisha Biashara Ya Uandishi Tanzania

Jinsi Ya Kuanzisha Biashara Ya Uandishi Tanzania

Kama umewahi kuwa na ndoto au matamanio ya kuwa mwandishi mkubwa hata kuwa mwandishi bora katika blogu yako, basi ni vyema ukajifunza namna ya kuwa mwandishi bora. 1. Jitahidi Kusoma Maandiko Bora Ni dhahiri kuwa ukihitaji kufahamu nini mana ya uandishi bora ni lazima usome maandiko bora yaliyoandikwa na ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kutoa Huduma Nzuri Kwa Mteja Kwenye Biashara

Jinsi Ya Kutoa Huduma Nzuri Kwa Mteja Kwenye Biashara

Changamoto ya huduma duni kwa wateja imekuwa kubwa sana kwenye biashara nyingi za kiafrika. Watoa huduma wengi hawajui na hawataki  kufahamu umuhimu wa kutoa huduma nzuri kwa wateja. 1. Elewa hitaji la mteja Kamwe huwezi kumhudumia mteja vizuri bila kufahamu hitaji lake. Mara mteja anapofika katika ...

S0MA ZAIDI
Faida za Biashara Ya Saloon Tanzania

Faida za Biashara Ya Saloon Tanzania

Biashara ya saloon imekuwa Biashara maarufu sana Tanzania na Huwaingizia Kipato watu wengi katika Maeneo Mbalimbali hapa Tanzania Ukizingatia kuwa Biashara ya saloon ni endelevu mfano mzuri ni kwa sababu kila siku nywele kwenye vichwa vya watu hukua na pia kwa wanawake mitindo mipya huja kila siku. Faida Ya ...

S0MA ZAIDI
Wauzaji
Logo