Biashara za Tanzania
Biashara za mtaji mdogo Tanzania kama vile biashara ya nguo, duka, mazao, mchele, nafaka, alizeti, aluminium, bodaboda, chips, bajaji, tigo pesa
Faida Ya Kulipia Matangazo Kwenye Facebook

Faida Ya Kulipia Matangazo Kwenye Facebook

Faida Ya Kulipia Matangazo Facebook? Facebook Sponsored Ads inatoa matokeo bora hasa kwenye kutangaza biashara yako au huduma yako kuliko njia nyingine yeyote. Unaweza kutangaza biashara au huduma yako kwenye eneo husika Unapofanya matangazo ya Sponsored mara zote inakupa chaguzi ya kuchagua wapi unataka ...

S0MA ZAIDI
Madhara Na Hasara Ya Kukopesha Kwenye Biashara

Madhara Na Hasara Ya Kukopesha Kwenye Biashara

Katika jaamii zetu za kiafrika ikiwemo Tanzania suala la mikopo ya bidhaa au fedha kutoka kwenye biashara kwenda kwa wateja limezoeleka sana. Ingawa jambo hili linaweza kuwa na manufaa kwa upande fulani, hata hivyo kutokana na kukosekana kwa uaminifu miongoni mwa watu wengi jambo hili limekuwa na athari nyingi ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kuwa Mfanya Biashara Mkubwa Tanzania

Jinsi Ya Kuwa Mfanya Biashara Mkubwa Tanzania

Wengi hutamani kuanza ujasiriamali na kuwa wafanyabiashara wakubwa Tanzania lakini siyo wote wanaofanikiwa kutokana na kutokufahamu kanuni muhimu za ujasiriamali. 1. Jitahidi Kuwa Mtatuzi wa Matatizo Ujasiriamali ni zaidi ya kupata pesa, ni lazima kwanza utatue changamoto ya mtu ndipo utaweza kupata pesa kutoka ...

S0MA ZAIDI
Sababu zinazozuia Mafanikio Katika Biashara

Sababu zinazozuia Mafanikio Katika Biashara

Jinsi Ya Kufanikiwa Katika Biashara Kwa Tanzania Kuna endana Sana na Tabia Ulizonazo Hivyo Hizi ni Baadhi Ya Siri za Kufanikiwa Katika Biashara Sababu za Kutokufanikiwa Katika Biashara Kukosa maarifa ya kutosha ya fedha Unajua fedha inahitaji maarifa fulani kwenye namna ya kuingiza, kuwekeza pamoja na ...

S0MA ZAIDI
Sifa za Wafanya Biashara Wakubwa Tanzania

Sifa za Wafanya Biashara Wakubwa Tanzania

Wajasiriamali wengi waliofanikiwa Tanzania wanafahamu na wanaziishi sifa za wajasiriamali bora. Ni wazi kuwa huwezi kuwa mfanyabiashara bora wakati unazo sifa za mwajiriwa. 1. Wafanya biashara wakubwa wana malengo Malengo ni mwongozo wa kukuwezesha kufanikisha jambo lolote. Kuwa na malengo ni sifa muhimu ambayo ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kutengeneza Pesa Kupitia Blog

Jinsi Ya Kutengeneza Pesa Kupitia Blog

Kwanza unahitajika kuwa na blog yako pia utahitajika kuwekeza muda wa kutosha pamoja na pesa kiasi fulani ili kuweza kuona matokeo kutokana na blog yako. 1. Unaweza Kuwa Wakala Unaweza kupata pesa kwenye blog yako kwa njia ya kuwa wakala wa wauzaji wa bidhaa au huduma mbalimbali. Mara mtu anunuapo kitu kwa ...

S0MA ZAIDI
Faida za Biashara Ya Saloon Tanzania

Faida za Biashara Ya Saloon Tanzania

Biashara ya saloon imekuwa Biashara maarufu sana Tanzania na Huwaingizia Kipato watu wengi katika Maeneo Mbalimbali hapa Tanzania Ukizingatia kuwa Biashara ya saloon ni endelevu mfano mzuri ni kwa sababu kila siku nywele kwenye vichwa vya watu hukua na pia kwa wanawake mitindo mipya huja kila siku. Faida Ya ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kupata Mtaji wa Biashara Tanzania

Jinsi Ya Kupata Mtaji wa Biashara Tanzania

Jinsi Ya Kupata mtaji wa biashara tanzania ni Moja kati ya changamoto kabla ya kuanza kufanya biashara au kuanzisha biashara yoyote Katika kipengele hiki naenda kujadili changamoto mbalimbali zinazotuzuia kufikia mafanikio makubwa kwenye biashara. Jinsi Ya Kupata Mtaji wa Biashara 1. Tumia akiba zako kama ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kupunguza Gharama Kwenye Biashara

Jinsi Ya Kupunguza Gharama Kwenye Biashara

Mbinu mojawapo ya kuongeza faida katika kampuni au biashara yako ni kwa kupunguza matumizi ya kampuni yako. Suala la kupunguza matumizi ya pesa ni muhimu zaidi hasa pale ambapo kampuni inakuwa inakabiliwa na changamoto za kifedha. 1. Jitahidi Kupanga Upya Matumizi Kuna matumizi mbalimbali kwenye kila ...

S0MA ZAIDI
Biashara Ndogo Ndogo Zenye Mtaji Kidogo Tanzania

Biashara Ndogo Ndogo Zenye Mtaji Kidogo Tanzania

Biashara ndogondogo zenye faida kubwa tanzania na ambazo zinalipa na pia zinazohitaji mtaji kidogo ili kuanzisha pamoja na kuiendesha ukiwa tanzania 1. Biashara ya juice za matunda Biashara ya Juice ya Matunda ya elfu kumi inaweza toa had lita kumi za juice ambapo lita moja ni sawa na glass tano au nne za juice ...

S0MA ZAIDI
Biashara za Kufanya Maeneo Ya Chuo

Biashara za Kufanya Maeneo Ya Chuo

Biashara zinazolipa na zenye faida ambazo unaweza kuzifanya ukiwa karibu na maeneo ya chuo kwa hapa Tanzania. 1. Biashara Ya Nyumba Za Kupanga Makazi ni hitaji muhimu sana kwa binadamu, hivyo sehemu ya vyuo wanafunzi watahitaji vyumba kwa ajiri ya kuishi pia wafanyakazi wa chuo nao ni mateja wa vyumba vya ...

S0MA ZAIDI
Mambo Ya Kuzingatia Unapotengeneza Website Ya Biashara

Mambo Ya Kuzingatia Unapotengeneza Website Ya Biashara

Website nyingi zinatengenezwa kila siku Tanzania, lakini siyo zote zinakidhi viwango vya ubora na inasababishwa na website nyingi kutengenezwa bila kuzingatia kanuni muhimu za utengenezaji wa tovuti au blog. Zipo athari nyingi za kutengeneza website yenye ubora mdogo kama vile kupoteza wasomaji au watembeleaji ...

S0MA ZAIDI
Mambo Ya Kuzingatia Unapofanya Biashara Mtandaoni

Mambo Ya Kuzingatia Unapofanya Biashara Mtandaoni

Vitu vya kuzingatia unapofanya biashara mtandaoni Tanzania ni muhimu kufahau mapema kwasababu Kufanya biashara kwenye mtandao ni jambo lenye faida na changamoto zake. Unaweza ukawa na bidhaa nzuri sana lakini ukumbuke kuwa kila siku kunaanzishwa tovuti za kuuza bidhaa mtandaoni. Haijalishi kuwa wewe ni ...

S0MA ZAIDI
Faida za Kutumia Mitandao Ya Kijamii Kwenye Biashara

Faida za Kutumia Mitandao Ya Kijamii Kwenye Biashara

Faida za kutangaza biashara kwenye Mitandao ya kijamii? Gharama ya Kujitangaza ni ndogo sana Gharama ya mitandao ya kijamii ni nafuu sana na programu nyingi za mitandao ya kijamii ni bure. Kutangaza kupitia mitandao ni rahisi mno ukilinganisha na njia za kawaida tulizo zoea. Inaongeza ufahamu wa biashara ...

S0MA ZAIDI
Njia za Jinsi Ya Kutangaza Biashara Tanzania

Njia za Jinsi Ya Kutangaza Biashara Tanzania

Kutangaza Biashara ni muhimu Ili uweze kupata kupata wateja kwa wingi zaidi na ili ijulikane kwa wateja wengi zaidi hivyo basi matangazo yanasaidia sana katika kukuza biashara yako kwa ujumla. Faida za Kutangaza Biashara Kuongeza Wateja Kadri unavyofanya matangazo ya biashara yako ndivyo unavyoongeza ...

S0MA ZAIDI
Aina za Wateja Kwenye Biashara Tanzania

Aina za Wateja Kwenye Biashara Tanzania

Mteja ni mtu muhimu sana katika biashara yoyote na Lengo la kuanzisha biashara ni kupata wateja watakaonunua bidhaa au  huduma yako. 1. Wateja wapya wa biashara Hawa ni wateja ambao huja kwenye biashara yako kwa mara ya kwanza, mnaweza kuwa mnafahamiana nje ya biashara, lakini hamjawahi kuhudumiana kwenye ...

S0MA ZAIDI
Faida za Kupanga Bajeti Kwenye Biashara

Faida za Kupanga Bajeti Kwenye Biashara

Faida na umuhimu wa kupanga bajeti ya biashara yako Tanzania pamoja na manufaa ya kupanga bajeti kwenye maisha ya kila siku kwa ujumla. 1. Utaelewa Fedha Zako Mahali Zinapo kwenda Ukiwa hauna bajeti na unaingiza kipato kila siku au kila mwezi unaweza ukawa unapata pesa nzuri sana lakini ukawa huelewi fedha ...

S0MA ZAIDI
Sababu za Kufa Kwa Biashara Mpya Tanzania

Sababu za Kufa Kwa Biashara Mpya Tanzania

Hakuna mtu anayeanzisha biashara akitegemea ife, lakini wakati mwingine hili hutokea pia Utafiti umebaini kuwa biashara na kampuni nyingi hufa ndani ya kipindi cha miaka miwili hadi mitano tangu kuanzishwa kwake. Kufa kwa biashara Tanzania siyo jambo zuri, ni wazi kuwa kila mtu nayefanya biashara atatamani kufanya ...

S0MA ZAIDI
Vitu Vya Kuwekeza Katika Biashara Tanzania

Vitu Vya Kuwekeza Katika Biashara Tanzania

Jinsi ya kuwekeza na sehemu za kuwekeza katika biashara hapa Tanzania ili iweze kukuletea faida kubwa siku za mbeleni. Wekeza Katika Kujiendeleza Wewe Mwenyewe Jiendeleze wewe mwenyewe Kufahamu yote yahusuyo Biashara unayo ifanya. Jiendeleze Kwa kuongeza ujuzi mbalimbali juu ya maswala mazima ya Biashara hiyo ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kuchagua Hosting Bora Ya Website

Jinsi Ya Kuchagua Hosting Bora Ya Website

Kuna mahali ambapo kila tovuti au blog hutunzwa, mahali hapo ndipo hufahamika kama web host. Web host bora ni muhimu sana kwa ajili ya tovuti au blog yako. Watu wengi wamekuwa wakifanya makosa wakati wa kuchagua web host kutokana na uelewa mdogo juu ya umuhimu wa web host bora pamoja na njia za kubaini web host ...

S0MA ZAIDI
Mambo Ya Kuzingatia Kabla Ya Kuanza Biashara

Mambo Ya Kuzingatia Kabla Ya Kuanza Biashara

Kuanza biashara kutoka kiwango cha sifuri siyo kazi rahisi ni muhimu kufahamu vitiu vya kuzingatia kabla ya kuanza biashara na jinsi ya kupambana na changamoto. Hivi ndivyo wajasiriamali wengi wanavyojifunza na kukua. Unapokuwa kwenye biashara ni lazima ufahamu makosa ambayo yanaweza kuathiri biashara au uwekezaji ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kuanzisha Biashara Ya Uandishi Tanzania

Jinsi Ya Kuanzisha Biashara Ya Uandishi Tanzania

Kama umewahi kuwa na ndoto au matamanio ya kuwa mwandishi mkubwa hata kuwa mwandishi bora katika blogu yako, basi ni vyema ukajifunza namna ya kuwa mwandishi bora. 1. Jitahidi Kusoma Maandiko Bora Ni dhahiri kuwa ukihitaji kufahamu nini mana ya uandishi bora ni lazima usome maandiko bora yaliyoandikwa na ...

S0MA ZAIDI
Wauzaji
Logo
Enable registration in settings - general