Biashara NdogoNdogo Zenye Faida Kubwa Tanzania

Biashara ndogo ndogo zenye faida kubwa

  • Biashara Ya Juice na Matunda

Wauzaji wa matunda au juice za matunda moja kwa moja hupata wateja wengi kwanza unatakiwa kuhakikisha maandalizi ya juice au matunda yako ni nadhifu na yana mhamasisha mnunuaji kununua.

  • Biashara Ya Supu

Biashara ya Kuandaa supu nyumbani kisha baada ya kuandaa unaanza kupitisha katika maeneo ya kazi na kufanya biashara yako ya supu.

  • Biashara Ya Nguo

Ukiwa ni mpangiliaji mzuri wa nguo na unajua nguo ipi nzuri na ipi si nzuri unaweza kuchangamkia fursa hii ya biashara ya nguo kwa kwenda maeneo ambayo nguo huuzwa kwa bei poa.

  • Biashara Ya Kahawa

Tumezoea kuona watu wanatembeza kahawa mitaani. Kwa upande mwingine biashara hii ya kahawa inaweza kuanzishwa kwa unadhifu zaidi na muanzishaji anaweza kujipatia mafanikio.

Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

6 Comments
  1. Naomba kujua jinsi ya kujiunga na kama muuzaji kwenye Hii Website yenu.

  2. Natamani sana kujiunga na wauzaji ili nifanye biashara ila Najua uwezekano ni mdogo sana wa Mimi kuwemo.

  3. Asante sana kwa kunipa mawazo ya biashara.

Leave a reply

Wauzaji
Logo