0767 ni Mtandao Gani Tanzania?

0767 ni mtandao wa Tanzania Hivyo basi ukiona sms imeingia kwenye simu yako au mtu kakupigia kwenye simu yako kwa namba inayoanziwa na 0767 Basi Tambua kuna uwezekano mkubwa Huyo mtu akawa anatumia mtandao wa Vodacom Tanzania.

0767 ni Mtandao Gani?

0767 Kwa Tanzania ni code inayotumika kwenye namba za simu za baadhi ya watumiaji wa mtandao wa simu wa Vodacom.

Tuandikie Email Yako Uweze Kupata Post za Wauzaji wa Tanzania Kwa Haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply

Wauzaji
Logo