0692 ni Mtandao Gani Tanzania?

0692 ni mtandao wa Tanzania Hivyo basi ukiona sms imeingia kwenye simu yako au mtu kakupigia kwenye simu yako kwa namba inayoanziwa na 0692 Basi Tambua kuna uwezekano mkubwa Huyo mtu akawa anatumia mtandao wa Airtel Tanzania.

0692 ni Mtandao Gani?

0692 Kwa Tanzania ni code inayotumika kwenye namba za simu za baadhi ya watumiaji wa mtandao wa simu wa Airtel.

Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply

Wauzaji
Logo