0622 ni Mtandao Gani Tanzania?

0622 ni mtandao wa Tanzania Hivyo basi ukiona sms imeingia kwenye simu yako au mtu kakupigia kwenye simu yako kwa namba inayoanziwa na 0626 Basi Tambua kuna uwezekano mkubwa Huyo mtu akawa anatumia mtandao wa Halotel Tanzania.

0622 ni Mtandao Gani?

0622 Kwa Tanzania ni code inayotumika kwenye namba za simu za baadhi ya watumiaji wa mtandao wa simu wa Halotel.

Tuandikie Email Yako Uweze Kupata Post za Wauzaji wa Tanzania Kwa Haraka.

4 Comments
  1. Asante sana nilikuwa najiuliza sana Huu ni mtandao gani wa simu.

  2. 0622 ni mtandao gani jamani?

Leave a reply

Wauzaji
Logo