User Posts: Lenald Minja
0

Wauzaji wa Cheni za Tanzanite Tanzania Pamoja na wauzaji wa Cheni za Tanzanite za kwa bei nafuu Tanzania tumekuandikia hapa pia Cheni za Tanzanite zinazouzwa ...

0

Wauzaji wa Dawa za Magonjwa ya Nguruwe Tanzania Pamoja na wauzaji wa Dawa za Magonjwa ya Nguruwe kwa bei nafuu Tanzania tumekuandikia hapa pia Dawa za ...

0

Bei ya Nissan Juke Tanzania pamoja na sifa zote za Magari Ya Nissan Juke tumeziandika hapa chini pia Magari haya ni mazuri sana na yana ubora na pia ...

3442

Wauzaji wa Mbegu za Choroko Tanzania Pamoja na wauzaji wa Mbegu za Choroko za aina mbalimbali kwa bei nafuu Tanzania tumekuandikia hapa pia Mbegu za Choroko ...

0

Wauzaji wa Vikuku Tanzania Pamoja na wauzaji wa Vikuku kwa bei nafuu Tanzania tumekuandikia hapa pia Vikuku Vinavyouzwa ni vizuri na vyenye ubora sana. Na ...

0

Wauzaji wa Dawa za Magugu Shambani Tanzania Pamoja na wauzaji wa Dawa za Magugu Shambani kwa bei nafuu Tanzania tumekuandikia hapa pia Dawa za Magugu Shambani ...

0

Wauzaji wa Dawa za Kunguni Tanzania Pamoja na wauzaji wa Dawa za Kuua Kunguni kwa bei nafuu Tanzania tumekuandikia hapa pia Dawa za Kunguni zinazouzwa ni ...

0

Wauzaji wa Ndimu Tanzania Pamoja na wauzaji wa Ndimu kwa bei nafuu Tanzania tumekuandikia hapa pia Ndimu zinazouzwa ni nzuri na kubwa. Na pia kwenye namba ...

0

Wauzaji wa Mashine za Kufulia Nguo Tanzania Pamoja na wauzaji wa Mashine za Kufulia Nguo used na Mpya kwa bei nafuu Tanzania tumekuandikia hapa pia Mashine za ...

0

Wauzaji wa Bima ya Pikipiki Tanzania Pamoja na wauzaji wa Bima ya Pikipiki ya aina mbalimbali kwa bei nafuu Tanzania tumekuandikia hapa pia Bima ya Pikipiki ...

0

Wauzaji wa Vinywaji Tanzania Pamoja na wauzaji wa Vinywaji ya aina mbalimbali kwa bei nafuu Tanzania tumekuandikia hapa pia Vinywaji vinavyouzwa ni vyenye ...

0

Wauzaji wa Tepu za Kupimia Tanzania Pamoja na wauzaji wa Tepu za Kushonea Nguo mpya kwa bei nafuu Tanzania tumekuandikia hapa pia Tepu za Kupimia zinazouzwa ...

User Articles: Lenald Minja
1581

0693 ni mtandao wa Tanzania Hivyo basi ukiona sms imeingia kwenye simu yako au mtu kakupigia kwenye simu yako kwa namba inayoanziwa na 0693 Basi Tambua kuna ...

3829

Jinsi ya kufanikiwa katika biashara? Jipange kibiashara kufanikiwa katika biashara unahitaji kujipanga Kujipanga kutakusaidia kukamilisha mipango yako ...

7255

Jinsi ya kufanikiwa katika biashara tanzania na mbinu ambazo zitapelekea kupata mafanikio katika kuendesha na kukuza biashara yako ukiwa tanzania 1. Katika ...

3589

Ufugaji wa nguruwe bora wa majike ni muhimu kwani utamuwezesha mfugaji kupata Nguruwe wengi na bora. Katika ufugaji wa nguruwe Majike wazazi watunzwe vizuri ...

3317

Kilimo cha Mihogo Tanzania ni moja ya kilimo ambacho kinalimwa sana tanzania hasa kutokana na tabia yake ya kuvumilia sana hali ya ukame. Tanzania ...

3829

Faida Ya Kulipia Matangazo Facebook? Facebook Sponsored Ads inatoa matokeo bora hasa kwenye kutangaza biashara yako au huduma yako kuliko njia nyingine ...

4603

0712 ni mtandao wa Tanzania Hivyo basi ukiona sms imeingia kwenye simu yako au mtu kakupigia kwenye simu yako kwa namba inayoanziwa na 0712 Basi Tambua kuna ...

3589

0659 ni mtandao wa Tanzania Hivyo basi ukiona sms imeingia kwenye simu yako au mtu kakupigia kwenye simu yako kwa namba inayoanziwa na 0659 Basi Tambua kuna ...

7255

Faida za kutangaza biashara kwenye Mitandao ya kijamii? Gharama ya Kujitangaza ni ndogo sana Gharama ya mitandao ya kijamii ni nafuu sana na programu ...

7255

Gharama za Ufugaji wa nguruwe faida zake pamoja na changamoto na mbinu zilizopo katika ufugaji bora wa nguruwe kisasa na kibiashara Tanzania 1. CHAGUA KOO ...

Show next
Browsing All Comments By: Lenald Minja
 1. Kwenye kuchagua biashara ya kuianzisha mtandaoni inabidi uchague ambayo wewe binafsi imekuvutia ili uweze kuifanya kwa Bidii zaidi.

 2. Biashara nyingi za Mtandaoni siku zote faida yake inaanza ikiwa ndogo sana ila kila siku biashara inavyokuwa na faida inazidi kupanda.

  Hivyo basi Online Business mara nyingi Siku za Mwanzoni huwa inahitaji sana uvumilivu na moyo wa kujitoa.

 3. Siku zote Kila biashara inafaida japo kwenye biashara ya uuzaji wa mayai faida ipo ila sio kubwa sana.

 4. Upo sahihi hizi biashara ndogo ndogo zinahitaji sana ujasiri wa kuzishinda changamoto zinazokuzuia kuanzisha biashara yako.

 5. Tumeshawaweka na Bado tunazidi kuwaongeza wauzaji wa bajaji wengine wengi zaidi.

 6. Ukiwa na Nia naamini ipo siku utamiliki Bajaji yako Jitahidi usikate Tamaa.

 7. Karibu sana Pia Bado Tunazidi kuwaongeza wauzaji wengi zaidi.

 8. Ufugaji wa kuku unahitaji moyo wa kujitoa sana na kujifunza kila siku.

 9. Yanatia hofu sana ndio maana ni vizuri kujifunza jinsi ya kufahamu dalili za magonjwa ya nguruwe mapema zaidi.

 10. Jitahidi uanze biashara yako kwasababu muda sahihi wa kuazisha biashara ni sasa.

 11. Usijali Pia Tunazidi kuwaweka wauzaji wa Engine za Magari wengi zaidi.

 12. Karibu wauzaji wa keki niliowaweka wana bei nafuu na wanatengeneza cake nzuri sana.

 13. Tena Wauzaji wa smartphone kwa mikoani ni wachache sana Nakuombea uweze kufanikiwa.

 14. Karibu sana Pia bado tunazidi kuwaongeza wauzaji waaminifu wengi zaidi.

 15. Karibu sana humu kuna namba za wauzaji wa kila kitu na bado Tunazidi Kuongeza.

 16. Japo ufugaji wa nguruwe una changamoto ila faida yake ni nzuri.

 17. Ndio biashara ya uuzaji wa ngombe inalipa ila kila biashara inachangamoto zake.

 18. Hongera na Pia Jitahidi sana ili uweze kufikia malengo yako.

 19. Tayari na Bado tunazidi kuwaongeza wauzaji wengine wa vifaa vya afya.

 20. Karibu humu utakutana na namba za wauzaji wa kila kitu.

 21. Wanauzika sana kwasababu hawa dagaa wa mwanza ni wazuri mno.

 22. Hata hawa wauzaji huwaga wanauza tu paka wa kizungu pekee.

 23. Wengi Ni wazuri na paka weupe wanavutia sana.

 24. Magari ya nissan ni mazuri sana na bei ni nafuu.

 25. Jitahidi ufikie malengo yako ya kununua bajaji na uweze kujiajiri kubeba abiria.

 26. Sisi tunawaweka wauzaji na namba zao wewe kazi ni kwako kuwasiliana nao.

 27. Wapo vizuri sana na pia Tv za samsung zina ubora mzuri.

 28. Kabisa ubora wa canon ni mzuri japo inategemeana na sifa zilizokuja na hiyo camera.

 29. Ndio inalipa ila wewe kama muuzaji wa simu inabidi uwe mvumilivu kidogo kwenye kupata wateja wa mara kwa mara.

 30. Pia Mayai ya kienyeji ni matamu sana.

 31. Kuku wa kienyeji wana faida sana kwanzia kwenye ufugaji, uuzaji na mpaka kwenye afya.

 32. Siku zote hizi namba za mitandao huwa zinachanganya sana.

 33. Hongera sana na jitahidi ili uweze kufikia malengo yako ya kuwa muuzaji wa simu.

 34. Upo sahihi sana Hiyo pia ni moja ya mbinu nzuri za kufanikiwa katika biashara.

 35. Nimefurahi sana Kuona Umependezwa na Ufugaji wa Nguruwe na Faida zake.

 36. Siku za Mbeleni Tutaziweka Namba za Wauzaji wa Matairi ya Magari ili uweze Kuwasiliana nao Moja kwa Moja.

 37. Hata mimi pia Nimefurahi sana Kuona Umepata Maarifa ya ujasiriamali wa biashara ya juice ya miwa.

 38. Kuhusu gharama ya kuhudumia kuku inategemea na nani ambaye anawahudumia hao kuku na Chakula unatengeneza mwenyewe au Unanunua?

  Haya Maswali yatakusaidia sana Kujua Makadilio ya Gharama ya Ufugaji utakayotumia.

 39. Siku za Mbeleni Tutaziweka Namba za Wauzaji wa Mbegu za Maboga uweze Kuwasiliana nao Moja kwa Moja.

 40. Wauzaji wote Kwenye Website yetu Tunaowaweka ni Wauzaji wenyewe Kabisa Kwaio kuwa na Amani.

 41. Tutaziweka Namba za Wauzaji wa Choroko Kwenye Website yetu ili Uweze Kuwapigia na Kuongea nao.

 42. Nashukuru sana kwa kupendezwa na elimu Hii ya biashara ya kuuza nguruwe Pia Jitahidi sana ili uweze kutimiza ndoto yako ya kuwa muuzaji na mfugaji wa nguruwe.

 43. Kwa wajasiriamali wadogo na wakati Kwenye swala la Ufugaji wa Kuku napendaga kushauri ni vizuri ukaanza kidogo kidogo kulingana na ulichonacho.

  Hii itakufanya kupata uzoefu wa jinsi ya kupambana na changamoto katika ufugaji wa kuku.

 44. Sawa Usijali Tukiweka namba za Wauzaji wa cctv camera tutakuunganisha nao Ondoa shaka.

 45. Bado Tunazidi Kuongeza List Ya Wauzaji Jaribu Kusearch Pale Juu ili Uweze Kuwapata Wauzaji wa viatu vya ngozi na Pamoja na Wauzaji wa Viatu vya Shule.

 46. Kwenye Ufugaji wa Nguruwe Yapo Magonjwa Yana Wasumbua sana Hivyo Ni Vyema Ukimuona Daktari wa Mifugo Kwa Haraka ili Aweze Kuwaangalia na kisha Akupatie Ushauri.

 47. Kuhusu gharama ya kuhudumia Kuku inategemeana na vitu vingi sana ikiwemo Mahali ambapo unafanyia Ufugaji wako Je ni Ndani Ya Mji au Nnje ya Mji?

  Pia inategemea na nani ambaye anawahudumia hao kuku na Chakula unatengeneza mwenyewe au Unanunua? Haya Maswali yatakusaidia sana Kujua Makadilio ya Gharama ya Ufugaji utakayotumia.

 48. Tunazidi Kuongeza List Ya Wauzaji Hivyo Jaribu Kusearch Pale Juu ili Uweze Kuwapata Wauzaji wa Vifaranga na Pamoja na Wauzaji wa Bidhaa Nyingine za Tanzania.

 49. Ndio Madera Yako Yatakufikia Kwasabababu Website Yetu ya Wauzaji Lengo Kubwa ni Kuwaweka Wauzaji Waaminifu Tu na Hatuwaweki Madalali.

  Hivyo Basi Kila Muuzaji Utakayemkuta Ndani Ya Website Yetu Basi Tambua mzigo wako Unaonunua Lazima Uupate.

 50. Nimefurahi sana Kuona umependezwa na Post yetu Usisite kuchukua hatua kuanzisha biashara yako ya vifaa vya ujenzi kwasababu muda Sahihi ndio Muda Huu.

 51. Asante sana Tunashukuru Kwa Kuonesha Kupendezwa na Elimu yetu.

  Kuhusu Swala la Kuungana na Sisi Wauzaji linawezekana ila Tu Uwezekano wa Kukubaliwa Sio Mkubwa Sana Kutokana idadi Ya Watu Wanaohitaji ni Wengi.

 52. Asante sana Pia Tutafurahi zaidi Kama siku za mbeleni ukija kutupa mrejesho wa mafanikio Katika biashara ya vifaa vya ujenzi.

 53. Asante sana Kwa Mawazo Yako Mazuri. Kila siku Tunazidi Kuwaongeza Wauzaji na wanazidi Kuongezeka Kwa Kasi Hivyo Watakuwa wengi sana.

 54. Asante sana Kwa Mawazo Yako Mazuri. Kila siku Wauzaji wanazidi Kuongezeka Hivyo Watakuwa wengi sana.

 55. Bado Hatujafungua Group la ufugaji wa Nguruwe Tanzania. Kwasasa bado Tunazidi Kuungana na wauzaji wa bidhaa mbalimbali Tanzania na kuwaweka kwenye website yetu ya Wauzaji.

 56. Pole sana Jaribu Kumwona daktari wa kuku wa kienyeji nazani atakushauri vizuri jinsi ya kufuga kuku wa kienyeji kwa kuendana na mazingira uliyopo ili uweze kupata faida katika ufugaji wako.

  kwasababu kuna uwezekano ikawa ni tatizo la kimazingira.

 57. Fuata Njia nilizoziandika pia Kumbuka ni watu wengi sana wanawaza jinsi ya kupata mtaji wa biashara kwa Tanzania kwaio usikate Tamaa na muombe mungu na pia anza na hiko hiko Kidogo ulichonacho.

  Kwasababu kwenye ujasiriamali Ukishindwa Kujaribu Basi utakuwa Unajaribu Kushindwa.

 58. Changamoto katika ufugaji wa kuku zipo nyingi sana Rafiki yangu ila usikate tamaaa pia jitahidi sana kujua wengine walifanyaje wakazishinda changamoto hizo pia jitahidi sana kujifunza kwa wengine pamoja kusoma vitu vipya vinavyo husiana na ufugaji wa kuku.

  Usikate tamaa katika ufugaji wowote ule kwasababu hata mimi pia nilieandika hii post bado kuna changamoto mpya nakutana nazo.

 59. Kwasasa Tumepost tu Kuhusu Ufugaji wa Nguruwe ila Bado Hatujawaweka Wauzaji wa nguruwe ila naamini baaada ya muda kidogo Tutawaweka.

 60. Karibu sana na ukiwa hapa na sisi wauzaji utajifunza mengi zaidi kuhusu jinsi ya kutengeneza pesa na kufanya biashara online na ni bure.

 61. Asante sana kwa kuonesha kuyapenda maelezo yetu ya kilimo cha nyanya tanzania

 62. Ndio Hizo nilizoandika ni tiba za ugonjwa wa ndui kwa kuku ila ni vizuri ukamuona daktari wa kuku ili kupata ushauri zaidi kuhusiana na ugonjwa wa ndui.

 63. Karibu sana Blender za Kuchaji Bado Tunazo Tupigie Simu Hapo Juu.

 64. Karibu sana na endelea kusoma post zetu za ufugaji nazani Utapata Taarifa nyingi sana kuhusiana na ufugaji wa tanzania.

 65. Pole sana soma vizuri naamini utajua jinsi ya kutibu ugonjwa wa ndui pia jitahidi kumwona mtaalamu wa ufugaji wa kuku upate msaada wa mawazo zaidi.

 66. Sawa Usiogope Kuanza kulipia matangazo facebook.

 67. Ndio inawezekana Pia usiogope kuanza ufugaji wa kuku kwasababu changamoto utakazopitia ndio zitakujengea uelewa zaidi kuhusu ufugaji wa kuku wenye faida.

 68. Napenda sana Kuwa na Marafiki ambao ni wauzaji Nitumie namba yako.

 69. Karibu sana mizani za jikoni zipo tupigie simu hapo juu.

 70. Hapana bado Hatujaanza madarasa ya biashara kwa sasa.

 71. Ugonjwa wa ndui ni hatari sana na unaweza kupata kuku wa rika zote.

 72. Asante sana Karibu sana mara kwa mara uweze kupata maarifa kuhusu kilimo.

 73. Asante sana kwa kuonesha kufurahia kilimo cha nyanya

 74. Mbegu za hawa kuku zipo na utapata kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji.

Wauzaji
Logo
Enable registration in settings - general