Ungana na Sisi

Kama unawaza biashara yako inawafikia walengwa wako wote wa mtandaoni basi nakuomba uwaze tena kwa undani zaidi.

Karibu sana Wauzaji.com hapa utapata taarifa za jinsi ya kuungana na Sisi. Unaweza ukasoma zaidi kutuhusu sisi Wauzaji kwenye “About Us” Page.

Kama unataka uwe muandishi kwenye blog yetu bonyeza hapa uweze kufahamu jinsi ya “Kuandika Post Yako“.

Kwani Wauzaji inahusiana na Nini?

Website ya wauzaji ndani yake inahusiana na mambo mbalimbali ila Kwa ujumla asilimia kubwa ya mtandao wa wauzaji unahusiana na;

  • Orodha ya wauzaji
  • Review za wauzaji
  • Maelezo ya biashara
  • Maelezo ya ufugaji
  • Maelezo ya kilimo
  • Maelezo ya maisha

Kwani Wauzaji ina Watembeleaji Wangapi?

  • Daily visits: 2,000+
  • Daily pageviews: 3,000+
  • Monthly pageviews: 90,000+ (85% Organics)
  • Email list: 6,500+

Tuna update hizi taarifa kila baada ya miezi mitatu ziweze kuendana na uhalisia wa kupanda na kushuka kwa idadi ya watembeleaji.

Nitawezaje Kujiunga na Wauzaji?

Kama na wewe ni mtafutaji kama mimi na umeupenda huu mtandao wangu wa wauzaji.com nakushauri njoo tuwasiliane ili mimi na wewe tuwe na ukaribu wa kibiashara.

Mawasiliano Yangu

Kama unataka kuwasiliana na mimi nakuomba unitumie email.

Email Yangu Binafsi [email protected]

Wauzaji
Logo
Enable registration in settings - general